Subiri asome kukupita ndo utajua mke ni wako au sio wako.
Halafu baba mkwe anakuona kilaza ndo maana, umeshindwa majukumu ya kuwendeleza mkeo kielimu mpaka yeye aingilie kati.
Be a man!
Usifananishe upole na ujinga!
yaani mke anapelekwa shule juu kwa juu? Ama anakaa kwa baba hadi wafanye applications, apate admission na aanze masomo? Na hayo masomo baba yake akilipia na yeye akakaa na mumewe na kuangalia wanae kila jioni itakuwaje?
hizo ni dharau tu. Kama ni kakangu huyu ningemuambia piga chini, mpe talaka rejea ulee wanao. Unyonge mwisho msata
Za asubuhi!?
Hebu mwache huyo aje akutane na supplementaries...
Watu wanadhani kusoma ni ssue simple kama kunywa maji...
Btw, huyo jamaa nae asipojiendeleza yatakuja kumkuta siku moja HATA KWA BAHATI MBAYA TU KWENYE UGOMVI!
Atakuwa chakula cha wahadhiri bure, bora ampachike mimba 2 fasta aanze kuona dabodabo.
Usifananishe upole na ujinga!
yaani mke anapelekwa shule juu kwa juu? Ama anakaa kwa baba hadi wafanye applications, apate admission na aanze masomo? Na hayo masomo baba yake akilipia na yeye akakaa na mumewe na kuangalia wanae kila jioni itakuwaje?
hizo ni dharau tu. Kama ni kakangu huyu ningemuambia piga chini, mpe talaka rejea ulee wanao. Unyonge mwisho msata
Kwani ameshaenda kwa baba yake, mtie mimba aende na mimba huko kwa babake
Kamwita mwanae kwa kisingizio cha kutaka kumsalimia,jana kanipigia simu eti anataka kumpeleka shule na ana watoto wawili
Mkuu sasa hapo mkweo kakunyang'anya Mke kivip ikiwa umekaa nae wewe hadi umemzalisha watoto wawili ulishindwa kumuendeleza. Mkweo anapenda Elimu we unakuja kulalamika na tena ushukuru unasomeshewa mkeo wazazi wengine ukishaoa ndio mzigo wako huo uhangaike nao!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Nawe beba vyako mfate ba mkwe umwambie nawe wataka kusoma
mwende wote shule
Best umenichekeshaje?
As if hiyo mimba imetundikwa kwenye hanger somewhere aichukue tu amtwishe!!!
Hawa nahisi huyo wife anatumia contraceptives na Mr hajui,atasimamia kucha mpaka vidole vipinde matokeo bila bila!!!!