Baba mkwe baada ya kupata pension kaninyang'anya mke

Baba mkwe baada ya kupata pension kaninyang'anya mke

Maisha ya shule hawayajui eenh? mwache aje!, achilia mbali hiyo ya ma-profs, wenzao huku wana-funuliwa G-string kwenye vimbweta tu! yani atarudi amechoka mbaya! lol

Kuna baadhi ya heshima zitashuka tu baada ya kutoka skonga... kwanza mwanaume atajidharau, no balls anymore!

umenikumbusha mbali blaza, shule haina adabu kabisa....
 
Kamwita mwanae kwa kisingizio cha kutaka kumsalimia,jana kanipigia simu eti anataka kumpeleka shule na ana watoto wawili

hao watoto 2 ni wako au umemkuta nao? kama ni wako na kama mmeishafunga pingu, hebu mwache baba akusomeshee. baba mkwe oyeee?

kama hao watoto umemkuta nao, tegemea mtoto wa 3 pindi akihitimu chuo/shule.
 
Maisha ya shule hawayajui eenh? mwache aje!, achilia mbali hiyo ya ma-profs, wenzao huku wana-funuliwa G-string kwenye vimbweta tu! yani atarudi amechoka mbaya! lol

Kuna baadhi ya heshima zitashuka tu baada ya kutoka skonga... kwanza mwanaume atajidharau, no balls anymore!

kwenye vimbweta eeh? practical experience at its best!
 
Best umenichekeshaje?
As if hiyo mimba imetundikwa kwenye hanger somewhere aichukue tu amtwishe!!!
Hawa nahisi huyo wife anatumia contraceptives na Mr hajui,atasimamia kucha mpaka vidole vipinde matokeo bila bila!!!!

asimamie kucha eeh? hahahahahaha!
 
kwenye vimbweta eeh? practical experience at its best!

Hahahaaa!! mkuu wavijua vimbweta vizuri eenh?

watu huwa wanabinuliwa kama kawa nyakati za night...!

si unaona hapa?

6.JPG


basi ikishafika nite nite hivi watu wanageuza GH kama kawa!
 
Back
Top Bottom