Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,916
- 24,674
Ni ugeni wa ghafla tu umetokea hapa kwangu leo, baba mkwe amekuja kufanya kama suprise, bila taarifa wala nini na kusema ana mazungumzo na mimi.
Kweli nimepokea wito ila chakushangaza mpaka sasa sioni dalili ya yeye kuondoka
Niko naye hapa nawaza sehemu ya kumlaza ilihali anajua mimi niko tu na chumba na sebule
Nimisema nikamlaze lodge siyo heshima na sijui pia atakuwepo kwa muda gani?
Wakuu nipeni mawazo