Wewee...Piga kifua sema umempata baba mkwe mwana sana .
Yapo mengine hapo yangetaka uyape mpaka hela za kuzeekea na kuzikwa nazo ila hilo libaba mkwe lako lina miakili sana
Siku wake zao wakirudi saa nane za usiku wasiwaulize..Hili la kutotoa mahari ndio linawafurahisha sana vijana wa sasa wapenda kitonga...
Utarudi tena hapa mkuu.Mkuu soma vizuri upate kuelewa
Ndoa ya kanisani ilifungwa kabla ya mahari hahaHii story imeanza kwa kutumia wakati uliopo na ghafla ikahitimishwa kwa wakati uliopita! Kikubwa umeoa bila mahari, ashukuriwe MUNGU
Umeona eeegh!? Tabu tupuNdoa ya kanisani ilifungwa kabla ya mahari haha
Wazazi wanajua vyema sana watoto wao ..Duh [emoji849] si kweli
(Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.)Soma vizuri
Wazazi wanajua vyema sana watoto wao ..
Kwenye familia Kuna watoto ambao hawako vizuri hata dishi limeyumba ila ukimuona kwa nje yupo sawa..
Wengine ni wachawi na majini hivyo mzazi anajua huo mzigo acha uende...
Sikutishi...
Oooh! Mwanamke "mpambanaji"...Hizo sio sababu za b mkwe kuniambia nisitoe mahari. ila una kila sababu za kutoa maoni yako kutokana na experience yako, hilo cwez kubishia.
Mke wangu ni ndoto ya kila mwanaume mpambanaji.
Najua cwz kuelezea ukaelewa kwanini.
Imekaa kama Hadithi ya kusadikika, yaani haamini kama cheti ni OG, kwamba amebambikiwa cheti! Only in Tz