Baba, Mama pamoja na watoto wote ni marubani

Baba, Mama pamoja na watoto wote ni marubani

Kuna cha ajabu hapo?.

Kuna Msomi mamboleo mmoja aliniambia kuwa urubani ni Professionalism. Nilishangaa sana, kama urubani ni u-professionalism bila shaka hata sie waendesha baiskeli na wale waendesha Magari, Pikipiki nk ni professionalism. Utofauti upo wapi?.

Kuna Baba mkulima, mke mkulima, watoto wakulima mpaka wajukuu wakulima. The same kwa wasanii, wanasiasa, wacheza soka nk.

Tusione ajabu, Ni kawaida tu.
Hahaaaa nimecheka sana !!ila sasa mkuu hawa watu nao walitawaliwa kama sisi

Nikurudishe nyuma kidogo mkuu India and Pakistan independence 1948 Kwa hili taifa lilikuwa moja kabla ya kupata Uhuru huo mwaka na kuwa mataifa mawili tofauti

Haya sasa sisi tulipata Uhuru mwaka gani? Najua unajua toa hapo uone kuna gepu la miaka mingapi sio mingi

Nachotaka kusema sasa mfumo wa nchi husika ndo unaobainisha hali za watu wake

Hata sisi huku hilo linawezekana lakni sasa ni watanzania wangapi wenye kipato cha kupeleka watoto kwenye hio fani?

Je?? Nani wa kutupiwa lawama mm na wewe tunaweza tukawa na majibu tofauti !!ngoja nianze mm viongozi ndo wabebe lawama

Viongozi wetu wanacheza na matumbo yao peke yao bila kujali hali za wale wanaowaongoza !!ndio maana fani ya ulubani hapa kwetu utakuta kuna mtoto wa kigogo

Anayway nisikuchoshe..Adui wa mwafrika ni MTU mweupe(mzungu) tafakari......

acha uongo
 
Je?? Nani wa kutupiwa lawama mm na wewe tunaweza tukawa na majibu tofauti !!ngoja nianze mm viongozi ndo wabebe lawama

Viongozi wetu wanacheza na matumbo yao peke yao bila kujali hali za wale wanaowaongoza !!ndio maana fani ya ulubani hapa kwetu utakuta kuna mtoto wa kigogo

Anayway nisikuchoshe..Adui wa mwafrika ni MTU mweupe(mzungu) tafakari......
Fikra huru ndiyo Uhuru wa Mwanadamu.

Fantz fanon anasema kuwa tuendelee kuelimisha wananchi mpaka wajue kuwa wao ndiyo wenye nguvu ya kuleta mabadiliko na si mtu mwingine. Hakuna mtu yeyoyote mmoja anayeweza kuleta mabadiliko ya maana isipokuwa wao wenyewe.

To Educate the masses politically does not mean is to try, can not mean making a political speech. What it means is to try, relentessly and passionatelly, to teach the masses that everything depend on them; that if we stagnate,it is their responsibility and if we go forward it is due to them too, that there is no famous man or womens who will take responsibility for everything and the magic hands are finally only the hands of the people-Frantz Fanon.

Adui wa mwafrika si mzungu. Adui wa mwafrika ni yeye mwenyewe. Neno langu siyo sheria, Nb; sikulazimishi uamini hili. You may agree or dis-agree.

Independence is happiness- Suzan Anthony.
 
Back
Top Bottom