Ni kitu rahisi sana sema gharama ndo vijana wanashindwa ku afford, ila kazi ipo katika uinjinia wa ndegeUkweli ni kwamba zipo professions ambazo ni noble kuzidi nyingine being a pilot ni desire ya watoto wengi,hiyo ni fani yenye heshima sana na ina uhusiano na uwezo mkubwa wa akili kuna jamaa hapo juu anafananisha u pilot na Kilimo!? na mwenzake anamsapoti,duh basi sawa ila kwangu hicho ni kitu cha kipekee..."kurusha ndege sio kuendesha bagadu eti!"
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hapo mimi na wewe nani ni masikini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni ruhusa masikini kujifariji
sijazungumzia ugumu mkuu nimezungumzia nobility ya fani being a pilot sio kitu cha mchezomchezo espcly being commercial sio kama askofu nanii.Ni kitu rahisi sana sema gharama ndo vijana wanashindwa ku afford, ila kazi ipo katika uinjinia wa ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukawa tajiri ila masikini wa mawazosasa hapo mimi na wewe nani ni masikini?
mimi unanijua?
acha ufala wewe!
Gharama ndio kubwa sana ila kama watu wetu wangeweza kumudu gharama za kulipa mafunzo ya u pilot wengi tuu wangekuwa ma pilot. Matajiri wengi tuu wamejifunza u pilot baada ya kutajirika trna wengine wamejifunza wakiwa 50+ yrs old. Ma movie actors kama John Travolta etc etc walipopata pesa wamejifunza u pilot wanaendesha ndege zao wenyewe.Ukweli ni kwamba zipo professions ambazo ni noble kuzidi nyingine being a pilot ni desire ya watoto wengi,hiyo ni fani yenye heshima sana na ina uhusiano na uwezo mkubwa wa akili kuna jamaa hapo juu anafananisha u pilot na Kilimo!? na mwenzake anamsapoti,duh basi sawa ila kwangu hicho ni kitu cha kipekee..."kurusha ndege sio kuendesha bagadu eti!"
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima Mkuu.una chembechembe za u`genius mkuu,ni wachache sana humu tutakaofanikiwa kuelewa ulichokimaanisha,ingawa mimi ni mmoja wao,watu wanapenda kukuza mambo hata vitu vya kawaida wanataka vionekane ni vya ajabu!
Miracle does not exist, only your ignorance is miracle.Ukweli ni kwamba zipo professions ambazo ni noble kuzidi nyingine being a pilot ni desire ya watoto wengi,hiyo ni fani yenye heshima sana na ina uhusiano na uwezo mkubwa wa akili kuna jamaa hapo juu anafananisha u pilot na Kilimo!? na mwenzake anamsapoti,duh basi sawa ila kwangu hicho ni kitu cha kipekee..."kurusha ndege sio kuendesha bagadu eti!"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleweka mkuu hebu tuandikie kwa lugha ya taifa ueleweke, kizungu kazi nzitoMiracle does not exist, only your ignorance is miracle.
Mkuu kosovo una hadubini ya kuwatambua au Mshana jr alikupa siri ya kuwabainihuku kwetu ukerewe baba mchawi mama mchawi mtoto kijichawi inaitwa wachawi family
hakuna cha ajabu ndio sababu nimeanza kwa kusema ni jambo la kawaida...kama umesoma uzi vizuriKuna cha ajabu hapo?.
Kuna Msomi mamboleo mmoja aliniambia kuwa urubani ni Professionalism. Nilishangaa sana, kama urubani ni u-professionalism bila shaka hata sie waendesha baiskeli na wale waendesha Magari, Pikipiki nk ni professionalism. Utofauti upo wapi?.
Kuna Baba mkulima, mke mkulima, watoto wakulima mpaka wajukuu wakulima. The same kwa wasanii, wanasiasa, wacheza soka nk.
Tusione ajabu, Ni kawaida tu.
Ni kitu rahisi sana sema gharama ndo vijana wanashindwa ku afford, ila kazi ipo katika uinjinia wa ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm pia na binti yangu tunashehekea bday siku mojaInapendeza saana..
Kuna hawa nao niliwasoma What are the odds? Mom, dad, son all share a birthday
Mm pia na binti yangu tunashehekea bday siku moja
hahahaha, mzee upo ukerewe ipi, mbona naona siku hizi wamestaarabika, zamani uwe tu na baiskeli ni shida, sasa watu wana umeme, maduka, magari, na wala hawauliwihuku kwetu ukerewe baba mchawi mama mchawi mtoto kijichawi inaitwa wachawi family
Amua kusema MIMI na siyo SISI.Hujaeleweka mkuu hebu tuandikie kwa lugha ya taifa ueleweke, kizungu kazi nzito
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wote ,kwa sababu ni furaha kwa mm kuongeza umri na na ni siku niliyomleta mrembo wangu kwenye hii dunia,namshukuru sana mungu kwa siku hii maalum kwetuHeshima Mkuu, Lil.
Siku ya kuzaliwa ni maalum haswa kwa nani?, mtoto au Mama?.
Unafahamu sababu haswa ya kufanyika kwa sherehe?. Kwanini sherehe?, Naomba uzingatie kanuni za kimantiki na si kasumba, itikadi wala msimamo mkali.Kwa wote ,kwa sababu ni furaha kwa mm kuongeza umri na na ni siku niliyomleta mrembo wangu kwenye hii dunia,namshukuru sana mungu kwa siku hii maalum kwetu