Baba-mama-mume-mke

with alcohol miongozo inakumbukwa?

The bossss! I aint that cheap! Mtu mpaka tufikie hapo ujue tumeenda date hata 10 minimum, na pesa zake nimekula mpaka nimeridhika, sasa hizo dates 10 kila siku lazima nikumbushie mambo ya gomora yalivokatazwa na Mwenyezi, na kiasi gani ilivo dhambi mpaka shetani anakuogopa! (Najua maandiko usipime!) Sasa hii topic inakuwaga mood turnoff kinoma, unakuta mtu inabidi ajifanye nae hapendi hayo mambo hata kuyasikia, ili kukwepa upotevu wa muda, hela na bia on a date talking over sodomy. I know how to a party pupper.
 
hata waarabu uwape tu maandiko watakuelewa lol
 
I never thought of that before! Ila mi na waarabu tofautii! with the exception of OIL WELLS OWNERS ofcourse! Maybe nikienda Doha Quatar kupitia Dubai kwenye sherehe ya shosti yangu jimama la kariakoo( mind u she is only 22) ila amepewa ujimama jinsi Mola alivomjaalia! Nikikazana kujifukiza udi na ubani huko Arabuni naweza kupata eeeh! Nimeshaagiza Abaya jipya kutoka Zanzaibar, lina jenabib lake na nikab ya nakshi. Nasikia wanamind mambo ya kujistiri na kujifukiza kinoma.
 
jimama la kariakoo litakupa siri ya waarabu i guess
maandiko unaweza yaweka pembeni for oil tycoons ..lol
 
Aaaaah wapi! Maandiko muhimu the boss usilte masihara! Wale oil tycoons nao si wanaume tu! Sema pesa ndo imewazidi, ntawadanganya kama vidume vya uswazi tu, sema nikiwaboa hawachelewi kunikodia AL-SHABAB mbona nitauhama mji? Ndo maana waarabu no!
 
Back
Top Bottom