Baba-mama-mume-mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba-mama-mume-mke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mimtamu, Sep 14, 2012.

 1. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa mwanamke, ni nani aliye na mamlaka ya juu kwako kati ya Mume au Baba yako mzazi?

  Kwa mwanaume, ni nani mwenye kipaumbele kwako kati ya Mke au Mama mzazi?

  Toa sababu ambazo mmoja anamzidi mwenzake
  Nb: Usihukumu kwa tabia au uthaifu wa mlengwa
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,349
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  you are asking the obvious!!!kwani hujui nani kama mama!
   
 3. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwanini mama?
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,349
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  miezi tisa tumboni,miaka sita kumyonyesha!!!!!!na mengine,usiku nikumwa utasikia baba anauliza tu anaendeleaje huyo!!mama yeye halali!!acha bwana!!!
   
 5. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  rafiki yangu The Boss njoo uone ID nyingine huku kwa mwanzisha mada
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  The boss mwarabu wa muscat alie na asili ya kipemba!
   
 7. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mamlaka kwa baba juu yako yametoka wapi tena wakati alishakukabidhi kwa mume mbele ya Mungu na binadamu?
   
 8. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mi simo, lol!
   
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Jiulize swali vilevile wakati upo kwa Baba yako na Mama yako nani alikuwa juu yao kimamlaka?
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  jf is never boring ..
   
 11. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  I luv JF
   
 12. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haswaaaaaaaaaaa
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Excuse me!! Yaani mwanamke ameolewa alafu baba yake ndio awe na mamalaka kwake?
  Aliyesema hivyo nadhani hayupo kwenye ndoa.
   
 14. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini mkuu, wajibu wake huo ati kwani hukuomba akuzae but yeye ndiye aliyeamua so lazima hali kama hiyo iwe. zaidi ya yote kazi yake ishakwisha.

  Hebu nipe na matamu ya mke tuone uwiano
   
 15. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha.. haya changia mada
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini utaona pale binti anapopata tatizo baba huwa muwajibikaji na mwenye sauti kuliko mume, hapo vp?
   
 17. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye miaka sita umepitiwa ama?
   
 18. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukumbuke hapo ulikuwa kama mtoto katika familia-a, na katika familia-b utakuwa mama/baba hapo ndipo kwa mke anapomilikiwa na mume
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Unawapenda na kuwajua waarabu naona..
  we hushindwi kitu naona
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hakuna mwenye mamlaka juu ya mwengine.....
  Ila kila mmoja ana nafasi yake.......
   
Loading...