Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,658
- 13,485
Hapo kwenye miaka sita umepitiwa ama?
mimi wa kikoloni!!niliachishwa nikienda kuanza darasa la kwanza!!!
Hapo kwenye miaka sita umepitiwa ama?
Lakini utaona pale binti anapopata tatizo baba huwa muwajibikaji na mwenye sauti kuliko mume, hapo vp?
miezi tisa tumboni,miaka sita kumyonyesha!!!!!!na mengine,usiku nikumwa utasikia baba anauliza tu anaendeleaje huyo!!mama yeye halali!!acha bwana!!!
Mkeo pia atafanya hivo kwa wanao ambao nao bila shaka utawapenda sana. Cha msingi hapa sio kuuliza nani nampenda sana. Kila mtu ana nafasi yake katika maisha yako na wote ni muhimu.
Ashindwe achekwe?Unawapenda na kuwajua waarabu naona..
we hushindwi kitu naona
Ashindwe achekwe?
I don't hate it, I just think it is a useless institution.Is this one more reason for you to hate 'marriages'?
I don't hate it, I just think it is a useless institution.
Completely obsolete, it wouldn't bring me any value.
Kwa swali hili jibu langu ni simple: Dad all the way!!!
I've known him for all my life and he loves me unconditionally
sorry..your dad?
sijakuelewa hapo..
The Boss ukishamaliza hapa naomba upitie thread ya 'MKE WANGU ANANIOMBA NIMTAFUTIE WA KUMLIWAZA"please kuna mtu amenifanya asubuhi yangu iwe mbaya leo!
Unawapenda na kuwajua waarabu naona..
we hushindwi kitu naona
Tatizo lako The Boss, huridhiki nikikusifia kosa, nikikuponda kosa!
kumbee?
mi mzima
waarabu wako wazima?
mimi napenda sana ngozi nyeusi, inaweza kazi! Waarabu nawaachia waaribu, mi midevu siifagili wala nini
hujawahi test waarabu?
Akaaaa! Nani anataka habari za kukosea njia?