Baba, mama, binti nani mwenye makosa??

Baba hajielewii,sasa angetulia ankam'sendoff mwanae angepungukiwa nini?
mama nae mshirikina kwel
binti bora hakuitoa hyo mimba alee mwanae

Baba aliumia cos mama na mwanaye wameshirikiana kumdanganya! Na vile Mzee ni mnene wa chama alijifia mno kuhusu bintiye.... "Msomi, mwenye maadili mema sasa amepata mwenzi, bila kujua bintiye keshazaa mtoto na kuishi kinyemela na mwanaume!! Hiko ndo kilisababisha arudishe michango.... Chezeiya sifa wewe!!!!
 
Hapana mkuu... MIe huwa sina story za Shigongo hii kitu ni live, natamani watu flan humu watoe ushahidi...

mambo c yashakuwa hivyo hamna wa kulaumiwa,mama alijaribu kuweka sawa maisha ya mwanae,xa suruhu ni kwambaa'jamaa c kaludisha wife wake kwa wazazi?em fanya fitina tupate mawasiliano ya huyo bibie mi nataka nimsaidie huyo bwana,nataka goma,silias
 
Poa poa mkuu... Na vile mdada ni mcute utafaidijeeee!!!
 
Mi nataka mawasiliano ya huyo bi shost,jamaa c kamludisha kwao?nataka ning'oe huo mzg jumla,silias em mleta taarifa fanya fitina nipate mawasiliano
 
Back
Top Bottom