GE2025 Baba Levo: Naenda Dubai kuzungumza na taasisi, kufufua soko la ujiji

GE2025 Baba Levo: Naenda Dubai kuzungumza na taasisi, kufufua soko la ujiji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mtu unakwenda kwaajili ya Starehe zake anasingizia kutafuta wafadhili:3Heading: hata ubunge ujaupata
===============
Miongoni mwa sababu kubwa zinazo mpeleka Dubai ni pamoja na kuzungumza na baadhi ya Taasisi kwa ajili ya uwekezaji mkubwa katika Soko la Ujiji liliopo Jimbo la Kigoma Mjini.

"Soko la ujiji ndilo linanipeleka Dubai wamepita Wabunge wengi lakini wameshindwa kufufua soko hilo,kwahiyo naenda Dubai ili kuzungumza na baadhi ya Taasisi ili kufufua soko hilo" amesema Baba Levo

 
Utumwa wa fikra bado ni changamoto. Vitu vingi vyaweza kufanyika kwa jitihada za wananchi na serikali yao. Tunajenga taifa lenye fikra mbaya kabisa zinazopoteza Uhuru wao na hatimaye kuuza nchi.
N.B: Taifa ni watu na nchi ni ardhi au eneo lao.
 
Back
Top Bottom