Simfahamu. Anyway watu wenu hao.Anaishi Tanzania, ni mtangazaji radio na TV, mwanamziki na Chawa promax wa Diamond Platnumz na Mama Samia
Huenda ndege au pigo la bosi wake🤔Kila mtu anatabiri. Anayoota sio ajali kama ajali bali msiba mkubwa kwake utatokea na litakua pigo kubwa hivyo maombi muhimu sana kwake