Arudi kucheza kamari na uchawa kwa Diamond tu maana kwenye utangazaji nako amemwagwa na mfumo, sana sana ajitahidi kutimiza ile ahadi yake ya kumzalia Diamond watoto mapacha .
Jamaa amekuwa restrained sasa ameona ile move aloyoifanya ni ya kijinga na kaitoka nje na akipiga domo la kulalamika inaweza kumuharibia zaidi nafasi ndogo aliyonayo ya kuteuliwa