chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,150
- 2,354
Una umri gani mkuu?wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Wapige picha, yaani tafuta ushahidi hlf mjulishe mama. Mzee wako hajitambui mkomeshe.wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Ding anafanya usenge huo... sio poa...wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
hii haisaidii.Tafuta dem hapo mtaani uzame nae ndani na mzee wako anaona
Wewe tatizo lako ni nini ?wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Kuchungulia utupu wa mzazi wako au mtu aliyelala na mzazi wako ni kujitafutia laana.Wapige picha, yaani tafuta ushahidi hlf mjulishe mama. Mzee wako hajitambui mkomeshe.
Hapa utapata ushauri wa kinafiki tu. Angekuwa mama ndo anaingiza vidume ungeshauriwa vzr.
Sent using Jamii Forums mobile app