Baba kanipa mbinu ya kuishi na mke namshukuru sana

Nashindwa kuyaandika hapa kwasababu maneno ni mazito nashindwa tafsida gani niitumie kuelezea
Kama huwezi kuyaandika hapa ulifungua thd ya nini?
Bila kutoa hizo mbinu zako ulizopewa unadhani thd yako itakua na maana yeyote kwa watakao isoma?
Au unataka ubembelezwe kwanza?
 
Mwanaume wakweli niyule aliyezaliwa kwa kutoficha kitu cha kumkomboa mwenzake ndiyo maana hata vitani akitekwa mwanajeshim mmoja watatumwa kikosi kizima kwenda kuikomboa roho moja. Tiririka mkuu what going on
 
Usipo share hiyo experience uliyopewa THREAD yako itakuwa haina maana yeyote wala haisadiii, itakuwa sawa na Tanzania ya viwanda inayosemwa mdomoni na kwenye makaratasi
 
Nashindwa kuyaandika hapa kwasababu maneno ni mazito nashindwa tafsida gani niitumie kuelezea
kwani haujui kuwa upo kwenye jukwaa lipi ?? mpka uhangaike kutafuta hiyo fasihi ya kuiwakilisha hap ....kama ulikuwa unajua kuwa hayo maneno haya zungumziki basiii usingetuandikia huu Uzi mkuu ...maana hapa unakuwa umewa sababishia watu kiu ambacho huwezi kukikata
 
Back
Top Bottom