Baba kabugi anadhani ni ...........kumbe houseboy

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
346
74
Baba aliona mkwe amepunguza mapenzi kwake, ni baada ya mke wake kujifungua mtoto ,bac akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye maziwa ili mtoto akinyonya afe,akaondoka zake aliporudi baadae akakuta aliyekufa ni houseboy!
 
66039_178283018976537_110975784_n.jpg
inataka kufanana na hii
 
Back
Top Bottom