KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Baba aliona mkwe amepunguza mapenzi kwake, ni baada ya mke wake kujifungua mtoto ,bac akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye maziwa ili mtoto akinyonya afe,akaondoka zake aliporudi baadae akakuta aliyekufa ni houseboy!