baba jamba tena

baba jamba tena

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
kulikuwa na baba ambaye siku zote alikuwa anamazoea ya kujamba mbele ya mwanae.
basi siku ya siku wageni wamekuja kumtembelea wako sebuleni,wakati huo dogo hakuwepo.
baada ya muda si mrefu dogo akaingia sebuleni ghafla bila ya kujua kuna wageni akatamka
BABA JAMBA TENA.............
 
Waswahili husema:Kama mume/mke kujamba tu anakuficha (hujawahi msikia)ujue ana siri nyingi anaficha.Ila tuwe wastaarabu!
 
Back
Top Bottom