Baba hataki nibadilishe dini ili niolewe

Baba hataki nibadilishe dini ili niolewe

NINACHOAMINI NI:-

Ukiwa Mcha Mungu na Mwombaji kweli,Mwenyezi Mungu atakupa Mume/Mke mtakayekuwa na Imani moja kwake na hata kuabudu pamoja na Mnayefanana/Mnayeendana na HAKIKA hautapata majuto.

NILICHOJIFUNZA/NILICHOSHUHUDIA:-

Ukimuoa/Ukiolewa na mtu yeyote ambaye hakuwa wakwako (sawasawa na mapenzi ya Mwenyenzi Mungu) basi hiyo ndoa haitakosa Majuto.
 
Waambie baba na mama waoane tena wanavyotaka..na wao waoane wanavyotaka.


Hao wote wanaotaka kuoana ni wapumbavu.

Kama leo hawajui waoane vipi hadi wazazi wawe "determination" wataishije bila hao wazazi,

Bado hawajakuwa na kujitambua .

Wakae walelewe.kila moja kwao mpaka wakue
 
Back
Top Bottom