Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
..., Tatizo baba na ni muhudumu mkubwa wa Kanisa.
Hapo amtafute babu wa msichana
aliemruhusu mama yake kubadili dini ili kuolewa ndo atamdhibiti baba wa msichana
note the red part..Well Said! Yaaani your the big thinker,,,And The Boss ushauri mzuri sana ndugu yangu
si rahisi kumdhibiti kama (babamtu) ni mtu wa imani sana tangu awali.Kwa mtazamo wake(babamtu) waweza kuwa (babamkwe wake) aliingiwa na roho mtakatifu ndiyo kupitia yeye akaruhusu..
achana na watu wa imani kali..wanachukulia kupitia mtu ''roho mtakatifu'' hufanya kazi.....
kumbuka: una deal na imani za watu..