makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,405
Kijana amekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu sasa ndoto zao ni ndoa.
Tatizo lipo kwenye Dini msichana yeye yupo tayari kubadili na kuwa Muislam na hata mama yake msichana anamuunga mkono mwanae kwani hata yeye alibadilishwa na mumewe, Tatizo baba na ni muhudumu mkubwa wa Kanisa.
Wapi huyu kijana anzie anahofia hata kulifikisha kwa baba mkwe wake kwa alivyo mkali na misimamo. Tumsaidieni kwa mawazo chanya nini akifanye kwani wanapendana sana.
Karibuni waungwana