Baba halali hapa ni yupi :

Baba halali hapa ni yupi :

Baba wa mtoto ajulikana kwa mama tu.
Wapo watoto wengi wamepewa baba ambao sio wazazi wao hali bali waliosex mara moja na mama.
Wapo ambao baba zao halisi waliwakataa ama kwa kuhisi wanasingiziwa, ama kwa kuogopa msala kwa bi mkubwa, lakini baba wengine walibambikiziwa na watakubali.

Huyo mchukueni tu huenda ni wenu,maana yawezekana wewe unajua kuwa tangu 2015 hawakuwa pamoja kumbe Kila siku wako pamoja wewe hujui tu.

Mchukueni tu
 
Loss report, kwamba birth certificate is lost.
Pata kingine.
Au ata hati ya kiapo kubadili majina.
Baba halali ni baba yeyote: iwe biological au wa kufikia.
Nina jirani yangu mkewe ana mtoto ila inside news ni kwamba baba halali alikuwaga anapiga simu kumjulia hali na kuleta zawadi kwa kificho.
Mtoto anafanana na mama, ni mweusi kama mume wa ndoa.
Siri sirini: ndiyo maana wanawake wengi hawapendi kitu DNA
Anayejua baba wa mtoto ni mama tu!
Wanawake heshima kwenu.
Akil kumkichwa
ahaah, wanawake ni mtihani
 
Huko ni kuharibu saikolojia ya watoto tuu. Mtoto anajua baba ake alishakufa then leo unamwambia baba ako halali ni huyu. Kwanza ili iweje? Na itamsaidia nn huyo mtoto.

Cha msingi huyo jamaa kashajua ni mtoto wake basi inatosha, sioni haja ya kumwambia mtoto.
mtoto akuambiwa, maana baba yake ambae sio halali amekufa yeye akiwa na miaka miwili, mpk leo anajua baba Yake kasafiri
 
Marehemu alikufa kifo cha aina gani, awe muangalifu huyo Mwanamke ili ndugu wa marehemu wasije wakahusisha Koro cha ndugu yao na zoezi zima la ubini wa mtoto
Namaanisha wasije wakawa na hisia kwamba Mwanamke na Mzazi mwenzie wameshiriki kummaliza jamaa ili wafanye wanachokitaka
 
Loss report, kwamba birth certificate is lost.
Pata kingine.
Au ata hati ya kiapo kubadili majina.
Baba halali ni baba yeyote: iwe biological au wa kufikia.
Nina jirani yangu mkewe ana mtoto ila inside news ni kwamba baba halali alikuwaga anapiga simu kumjulia hali na kuleta zawadi kwa kificho.
Mtoto anafanana na mama, ni mweusi kama mume wa ndoa.
Siri sirini: ndiyo maana wanawake wengi hawapendi kitu DNA
Anayejua baba wa mtoto ni mama tu!
Wanawake heshima kwenu.
Akil kumkichwa
...Mkuu, kama mwanamke alikuwa muhangaikaji sana hata yeye mwenyewe wakati mwingine hajui Baba wa mtoto wake.....wewe kwa mwezi mmoja anapigwa na wanaume wanne tofauti, atajuaje yupi ni yupi???
Tuishi nao kwa akili...
 
Huko ni kuharibu saikolojia ya watoto tuu. Mtoto anajua baba ake alishakufa then leo unamwambia baba ako halali ni huyu. Kwanza ili iweje? Na itamsaidia nn huyo mtoto.

Cha msingi huyo jamaa kashajua ni mtoto wake basi inatosha, sioni haja ya kumwambia mtoto.
...Umenena vyema Mkuu. Huyo mwanamke hajatulia hali kadhalika ndugu yako.
Wamuache mtoto abaki kuwa mtoto wa Marehemu, basi!
Hayo mengine yabaki kuwa siri ya mioyoni mwao.
...fikiria leo hii ndugu yako kumuibukia mkewe na kumletea mtoto na kumuambia huyu mtoto baba yake amefariki lakini alikuwa mwanangu sasa namrudisha nyumbani!!!!....
 
Marehemu alikufa kifo cha aina gani, awe muangalifu huyo Mwanamke ili ndugu wa marehemu wasije wakahusisha Koro cha ndugu yao na zoezi zima la ubini wa mtoto
Namaanisha wasije wakawa na hisia kwamba Mwanamke na Mzazi mwenzie wameshiriki kummaliza jamaa ili wafanye wanachokitaka
pana ukweli hapa pia,
 
Back
Top Bottom