heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
DOGO : Eti baba mtu stupid yuko je?
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a very
good kweshen kwa kweli I am praud of
you,ni wazi kuwa kuna kila sababu ya kukiri
kuwa elimu unayopata inaendana na
mtizamo mzima wa big results now, you
see mwanangu, mtu stupid ni yule ambaye
akiulizwa just a simpo kweshen, yaani
swali dogo sana basi huanza
kulinyumbulisha na kuongeza mofimu na
fonimu katika hilo swali, kuanza kutafuta,
tena infact bila mantiki yoyote wala
kufuata basis ya swali, na baada ya hapo
kufanya mchanganuo usio na mashiko
yoyote na hatimae kukam up na solushenz
ambazo in prinsipo hazikuweko katika swali
husika kiasi cha kwamba aliyeuliza swali
anakuwa haelewi hata kitu, umeelewa
DOGO : Hapana
Share
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a very
good kweshen kwa kweli I am praud of
you,ni wazi kuwa kuna kila sababu ya kukiri
kuwa elimu unayopata inaendana na
mtizamo mzima wa big results now, you
see mwanangu, mtu stupid ni yule ambaye
akiulizwa just a simpo kweshen, yaani
swali dogo sana basi huanza
kulinyumbulisha na kuongeza mofimu na
fonimu katika hilo swali, kuanza kutafuta,
tena infact bila mantiki yoyote wala
kufuata basis ya swali, na baada ya hapo
kufanya mchanganuo usio na mashiko
yoyote na hatimae kukam up na solushenz
ambazo in prinsipo hazikuweko katika swali
husika kiasi cha kwamba aliyeuliza swali
anakuwa haelewi hata kitu, umeelewa
DOGO : Hapana
Share