Dada haya maneno makali sana kwa mzazi, ni kweli anakosea na anazidi kujiaibisha kwa kukubali kuhojiwa na magazeti ya udaku lakini ukweli halisi amechanganyikiwa kwa kuona mtoto wake anatanua ilihali yeye anapata milo mitatu kwa siku kwa shida. Mie naona ni kawaida kuchanganyikiwa kwenye hali kama hii, inatakiwa akubaliane na hali halisi kisha maisha yaendelee, anaonekana ana nguvu na bado ni kijana wa kati, siwezi kumuita mzee.Huyo anaonesha ni teja kama si teja basi ni tapeli lisiloridhika.
Dada haya maneno makali sana kwa mzazi, ni kweli anakosea na anazidi kujiaibisha kwa kukubali kuhojiwa na magazeti ya udaku lakini ukweli halisi amechanganyikiwa kwa kuona mtoto wake anatanua ilihali yeye anapata milo mitatu kwa siku kwa shida. Mie naona ni kawaida kuchanganyikiwa kwenye hali kama hii, inatakiwa akubaliane na hali halisi kisha maisha yaendelee, anaonekana ana nguvu na bado ni kijana wa kati, siwezi kumuita mzee.
hakuna laana hapo,huyo mzee mwache aisome namba!alifkr kukaza ***** diamond ndo kamaliza?kama kulea kulimshinda basi atulieLaana hiyooooo inakuja......
wazazi kama hawa ni wakutia motoungemkuta enzi hizo alivyotofautiana na mzazi mwenzake na mijineno yake ' sitoi hata kumi, we lea tu akikua atanitafutakutofautiana na mzazi mwenzio utupe na mtoto ni mbaya,
huyu mzee mkorofi katibuana na qeen darlin tena
umeongea mkuuHili fundisho tunalipata wazazi ambao watoto wetu bado wadogo.
Sio tunadinya halafu tule kona, tudinye na tuwe tayari na majukumu ya matokeo ya Kudinya.
Vinginevyo ndio haya ya mzee Diamond.
Mzee anadhalilika tu ilihali mwanzo alikimbia majukumu.
Mama Diamond alifuata mfumo wa wanawake wa Kijapan....
ahahaha,Mkuu unaongea from experience, ila nimecheka sana, hahahaha, kiukweli mzazi asiyekusaidia hata wewe utaona hana thamani.
Diamond anapaswa ajiulize kwa nini anajiita nasib abdul badala ya nasibu sanura.
Brother i know the feelings fella!Huyu mzee Lofa kweli!Hana tofauti na Baba yangu!Baba yangu yupo,ila hakuwahi nilipia hata thumni ktk elimu yangu zaidi ya mjomba angu upande wa mama,halafu kesho niwe mbunge wa iramba kupitia chadema,ndio aje ajifanye ananijua?hatopata hata dala langu kudadadeki!
Mkuu umeniwai aseee, hivi watoto wengine wanajiskiaje mshua wao akiwa katika hali ile, na je hao madogo wengine wameshawai mshauri chochote mondi kuusu mshua au nao wanameza bata tu. Hivi ikitokea huyu mzee akadanja mondi ataliaje yaan. Kuna mambo mengine waachie baba na mama ndo wanajua walitongozana vipikwani huyu mzee ana mtoto mmoja tu (diamond) ?
Kweli kabisa halafu mzee alishawahi kumuomba msamaha,Diamond kama mtoto Wa kiume sahau jikaze unaweza ukakuta ata wewe uliacha mbegu sehemu msaidie baba yako shoo moja tu inamtosha matumizi kama utaki kumpa,ela mweke bili hotel karibu awe anakula Milo mitatu mpeleke hospital umwache Fanya kama MTU aliyechangia mbegu zako ukaja duniani kama mwanaume Fanya ivyo jua mama yako bila huyo mzee kuchangia mbegu zake usingekuwa diamond ata ulaya wachangia mbegu wanalipwa gari achakusikiliza kila kitu anachosema mwanamke ata Mungu alisema tuishi nao kwa akili
Ali mtelekeza mond n mama yke kipindi mond bado mtoto so mama akachukua jukumu la kumlea mond pekee yke, n mond alipokuwa dogo alipokuwa anaenda kumuomba ela baba yke alikuwa ana mtimua n kipigo juuHuyu dingi kwani alimfanya nn Diamond?