Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,021
- 2,253
SHALOM Baba Askofu Josephat Gwajima,
Mimi ni muumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, nipo Mkoani (Mtwara).
Huu ni muafaka wa kuwatembelea wagonjwa waliopo tawi la Hospitali ya Muhimbili (Mloganzila), hususani wale wenye maambuzi ya virusi aina ya COVID-19.
Hawa wanahitaji maneno ya faraja na uponyaji kwani hakuna ndugu, jamaa au rafiki anayeruhusiwa kuwatembelea.
Kama tuliweza kufufua misukule, waathirika wa COVID 19 kwa imani tutashinda.
Amen
Sent using Jamii Forums mobile app