Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Mkuu kuna wajane ambao wao wanalilia kupoteza mume............
Mali na mfumo wa maisha tayari walishajiwekea thabiti na askofu wala mafimaji hawana nafasi mpaka apende yeye.
Wajane unaowasema ni wale wa zamani ambapo mwanamke alikuwa kama mama wa nyumbani lakini siku hizi kidogo hali imebadilika.
Na huyo askofu ni fagia fagia hachagui? Maana kila mtu anavigezo vyake vya kula nyama ile, ni sharti uchague iliyonona. Kama unataka kusema wajane wote wamenona sawa askofu atafanya kazi yake.
Siku hizi kajaa kale nako kitisho, maana penzi ili linoge na uonje utamu wa sukari ni sharti upekue kavukavu!!!!!
Na ikiwa hivyo askofu naye siyo mzima anataka kuleta msiba mzito zaidi kwa familia kwa kufanya hata mama aliyebaki kupotea kabisa na kuacha mayatima!!!!!!
mi naona si kwa wajane tu hata wale ambao hawajaolewa Baba askofu anashugulika nao
Sasa wamuamini nani kam yeye anafanya hivyoooooo?
fofooffoooo hadi asubuhi......Ruta ujue baba mchungaji amepunguza kasi kabisa kwa wajane,hujagundua tu.:amen:Vaislay umeamkaje? Umeng'atwa usiku wa leo au umelala fofo tu...............wajane kabali yao ni kali kwa sababu tofauti na hao wasichana ni kuwa wajane wengi saa zimesogea na hawapo sana sokoni kwa hiyo wana aina fulani ya kujikuta lupango na wanapopewa masharti hujikuta hawana namna bali kujisalimisha kwa Baba Askofu... Vaislay
fofooffoooo hadi asubuhi......Ruta ujue baba mchungaji amepunguza kasi kabisa kwa wajane,hujagundua tu.:amen:
nitarudi
ndio maana nasema ni bora hawa viongozi wa dini wasiooa bora nao waoe tu-maana wengine wanashindwa kuhimili tamaa zao
Vaislay umeamkaje? Umeng'atwa usiku wa leo au umelala fofo tu...............wajane kabali yao ni kali kwa sababu tofauti na hao wasichana ni kuwa wajane wengi saa zimesogea na hawapo sana sokoni kwa hiyo wana aina fulani ya kujikuta lupango na wanapopewa masharti hujikuta hawana namna bali kujisalimisha kwa Baba Askofu....[MENTION]@Vaislay[/MENTION]
Hii reference haiwalengi wajane tu, kama tafsiri yako ya askofu ndiyo hiyo uliyoiweka ambayo inazigusa pia na NGO. Kwa hakika wasichana wabichi na wake za watu ambao wanahangaika kutafuta kazi na pengine wanakwenda kwa hawa watu ambao wanasimamia mashirika ya misaada, na hujikuta wakilazimika kuweka rehani hiyo mali yao adhimu ili kupata kile wanachokitaka. Ni bahati mbaya sana kwamba watu hawa wanaotaka kila kinachoonekana, huwa si wazima. Sasa mkeo atapolazimishwa kumegwa ili mradi wake ufike, ndipo atakapoleta maradhi humo nyumbani. Naye binti kigoli anayemegwa na maaskofu wa aina hii, atajikuta kwenye akiingia kwenye ndoa akiwa na virusi. Na bahati mbaya vijana wengi hawapimi virusi kabla ya kufunga ndoa. Hii ni hatari sana.
Ikiwa hivyo baba askofu hajambo na wapo wengi kweli. Hofu yangu ni kumaliza hata mzizi ulibaki maana usalama ni lazima utakuwa ni mdogo sana.
Ta Kamugisha hawa waheshimiwa hudai kama wanataka kula basi kwanza nao waliwe.................na hawa mababa Askofu hata kwenye siasa wamefurika...............[MENTION]@Ta Kamugisha[/MENTION]Hawa jamaa ni noma, wanawakamuaje! Sitaki hata kuwasikia