Baba akanena haya

Baba akanena haya

CRISTA

Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
83
Reaction score
39
Baba nae

Anasema mwanangu oa mwanamke ambaye ni msomi hii ni kwa sababu wewe pia ni msomi, mwanangu angalia boma la kuoa sio maboma yote ya kuoa. Sikushauri ni kabila gani la kuoa ingawa ukishindwa ni bora uje nyumbani uangalie mwanamke wa kumuoa, mwanangu kuanglia familia (hali ya baba na mama wanavyoishi) ya mwanamke pia ni muhimu.
Sina Ikiwa baba na mama wanaishi vyema hata kama mwanamke atakuwa na vijitabia vitakuwa vya kuiga tu;

NILICHOSHANGAA:
Hakuniambia oa mwenye sura nzuri mwenye bod zuri,MWEUPE AU MWEUSI;NI KWELI DADI LAKINI...........MMH!
 
ha ha ha ha oa body nzuri sura nzuri ukutane na surta mbaya kishakaa ndani kigoma
 
Baba nae;
Anasema mwanangu oa mwanamke ambaye ni msomi hii ni kwa sababu wewe pia ni msomi;Mwanangu angalia boma la kuoa ci maboma yote ya kuoa.ckushauri nikabila gani la kuoa ingawa ukishindwa ni bora uje nyumbani uangalie mwanamke wa kumuoa;Mwanangu kuanglia familia(hali ya baba na mama wanavyoishi) ya mwanamke pia ni muhimu
cna;Ikiwa baba na mama wanaishi vyema hta kama mwanamke atakuwa na vjitabia vitakuwa vya kuiga tu;

NILICHOSHANGAA;-
Hakuniambia oa mwenye sura nzuri mwenye bod zuri,MWEUPE AU MWEUSI;NI KWELI DADI LAKINI...........MMH!



Alikuambia ukweli kabisa yeye anajua wewe msomi ni bora uoe msomi mwenzio usijisikie inferior ukiwa na wasomi wenzio.

Alisema angalia boma la kuoa ni kweli maana alivyo binti mara nyingi ndivyo alivyo mama mtu,kama familia mama aliachika,watoto nao wameachika kunauwezekano wa tabia kuendelea kwa vizazi vijavyo.

Hakugusia kabila ni sawa kabisa maana hata kama kwa ujumla lile kabila lina sifa fulani mbaya hawakosekani wema humo,hivyo kabila siyo issue.

Kuangalia baba yake na mama yake wanavyoishi ni kweli kama mama kamkalia kichwani baba kunauwezekano wa mtoto wake kuja kukukalia kichwani maana kama amekua akiambiwa na mama yake kuwa mwanaume asikuchezee unategemea nini.

sura siyo ni muhimu kuliko hayo yaa juu maana akiwa na tabia ya hovyo hamtadumu jaribu kufikiria mtu anajisikia,anakupelekesha,anajiona siyo wa type yako,ukimfanyia hili haliridhiki anaona alisitahili kuolewa Ikulu unategemea nini?

Mwanamke mwenye busara huyo ndiyo atasifiwa.

 
kuzaliwa maskini si kosa bali kuchagua baba mkwe maskini ni kosa lako
 
ukio mwanamke mbovu sura, kwenye sherehe utaishia kuchangia card za single... either uende au aende
 
Mzee wako alitakiwa akuambia uoe mwanamke mwenye maarifa
 
maneno mazuri, kwa yale ambayo hakukwambia unatakiwa kuchanganua mwenyewe .
 
Baba nae

Anasema mwanangu oa mwanamke ambaye ni msomi hii ni kwa sababu wewe pia ni msomi, mwanangu angalia boma la kuoa sio maboma yote ya kuoa. Sikushauri ni kabila gani la kuoa ingawa ukishindwa ni bora uje nyumbani uangalie mwanamke wa kumuoa, mwanangu kuanglia familia (hali ya baba na mama wanavyoishi) ya mwanamke pia ni muhimu.
Sina Ikiwa baba na mama wanaishi vyema hata kama mwanamke atakuwa na vijitabia vitakuwa vya kuiga tu;

NILICHOSHANGAA:
Hakuniambia oa mwenye sura nzuri mwenye bod zuri,MWEUPE AU MWEUSI;NI KWELI DADI LAKINI...........MMH!

Ndoa kitu kingine...ukikosea tu utalia maisha yako yote. Kuna watu walikurupuka na mambo ya ndoa...leo hii wanamwaga kilio na la kufanya hawana. So mind ur steps.
 
Back
Top Bottom