baazi ya viongo feki

ngapu

Member
Nov 18, 2012
41
1
Baazi ya viongozi feki husababisha maisha kurudi chini baada ya kwenda juu pia huwa wanajali maslahi yao tu tena husahau kama yupo kwa ajili wa wananchi yeye huona yupo kwa ajili ya maisha yake na familia yake jeee hivi tutafika jibu unalo wewe
 
we ngapulila,na pia kuna wananchi fake kama wewe wasiojua hata kuandika maneno ktk usahihi wake na hata kupeleka mada husika ktk jukwaa husika,watu kama wewe huchangia zaidi nchi kurudi chini pengine kuliko hao viongozi.

ushauri:kila mmoja ajaribu kuwa bora na sio kutupiana lawama
 
Back
Top Bottom