Wapeni nchi yao kwanini mnawang'ang'ania; Tanganyika bila Zanzibar ilikuwepo na inawezekana!!
Sidhani kuwa wanang'ang'aniwa na hakuna aliewanyang'anya nchi yao hadi useme wapewe! Wana rais na bunge, kinachowashinda ni kipi kujitangazia uhuru wanaoutaka? Binafsi sioni manufaa ya muungano katika mazingira na dunia ya sasa. Vita baridi imeshaaisha kitambo na strategic position ya Zanzibar kwa Tanganyika si valid kama enzi miaka ya 60 hadi 80. Waende hata leo tuone nani atakaepoteza kwa muungano kuvunjika, watu ambao hata nyanya wananunua Tanganyika???
Hawa Wazanzibari wananikera sana. Ingekuwa juu yangu ningekuwa nishawapotezea na hicho kinchi chao.
Mkuu kuna Tsunami kubwa laja baharini
Haya aliwahi kuyasema Tundu Lissu bungeni akaonekana hawapendi wazanzibariKundi la wananchi wa Zanzibar wamekusanyika leo nje ya ukumbi wa baraza la wawakilishi kudai hoja yao ya kutaka iitishwe kura ya maoni juu ya muungano ijadiliwe na baraza hilo.
Wananchi hao wanadai kabla ya mchakato wa katiba mpya kuendelea wanataka Wazanzibari watoe maoni yao kama wanataka muungano au la.
Source: DW RADIO.
Sawa kabisa, maana hii ya sasa imejaa akina yakhe wa Zanzibar!A very timely and good move...........sasa tuwe na tume mbili za katiba