Too late.... tuliyasema haya zamaaaani!
Ukifanya mchakato wa kuandika Katiba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake tayari umeshapitisha Muungano!
Too late bandugu. Ila kitu kimoja siku zote nitawapigia saluti Wazanzibar pamoja na udogo wa kanchi kao ni kwamba Mzanzibar wa kawaida ana mwamko wa kisiasa na uelewa mkubwa wa public affairs kuliko M-Bara. Sasa ndio kwanza watu wanaanza kushtuka na chicanery ya Katiba mpya. Tumechelewa.
Waishie zao huko watuondolee kiwingu... watu millioni 1 wametoa wajumbe 15 kwenye tume ya katiba... watu millioni 42 wametoa watu 15 kwenye tume??? Huu muungano kiinimacho?? hiyo kura na ije tuuvunjilie mbali tuone nani ataumia.
Watanzania tumechoka na muungano wa viongozi kwa gharama za watanzania, tikipata upenyo tunauondoa, Muungano huu niw awa kikwete na baadhi ya wazanzibar
Nawatakia kila la heri Wazanzibar wavunje muungano huu.
MOD, mpo wapi jamani member tunasemwa vibaya? mpeni BAN huyu katumia lugha ya maudhi jukwaani!I wish iwe hvyo,ah wanagubu hawa!
Kwa nini WADANGANYIKA Mnang'ang'ania muungano?
Na tutauvunja huu muungano, kisha tutawafukuza wadanganyika woote zanzibar.
Asante JK, umetupa nafasi muhimu sana na hatutaitumia vibaya.
FUKUZA WABARA WOTE ZANZIBAR, hatutaki mafisadi huku!
MOD, mpo wapi jamani member tunasemwa vibaya? mpeni BAN huyu katumia lugha ya maudhi jukwaani!