mvunjamiwa
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 453
- 117
JUSA yuko wazi kwenye hili!!!!Yalishatabiriwa hayo. Muungano ukivunjika haitaishia hapo. Hawa wapemba na hawa waunguja. Na hawa wenye asili ya kiarabu ndio wenye chokochoko zaidi
we ni mzanzibari au mzanzibara kwa sababu ndugu zetu wa Kitanganyika waliozaliwa kule Zanzibar tunawaita wazanzibara,hapa katika ukumbi wa Great Thinker nimeshindwa kumpata mzanzibari halisi anaeweza kuleta longo longo kama zako ikiwa ww ni mndaki ndaki basi lazima Dada zako wote wamezalishwa na Wa Tanganyika na wamekuwa ni raia wa huku Tanganyika sasa...Ungelitusaidia sana mkuu kama ungelikwenda kule Zenji na kuwaweka sawa wa Zanzibari wenzako kuhusu muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar ili tuweze kuudumisha mileleeeee:israel:

Hebu leta ushahidi wa hayo manyanyaso!
hamna mtu mbaya kama Maalim Seif anawuatumia tu yeye full kiyoyozi kwenye benz hivi si alishinda uchaguzi 2010 kilichomfanya akaubaliane na maombi ya CCM nini hv mnadhani hatujui!!!!!!!!!!!!! Muwe makani na baadhi waarabu
Ndio maana nikataka ushahidi maana nilijua unaongea jambo usilolijua
1) Hakuna na halijawahi kutolea pendekezo la kufukuzwa wabara kazi znz, hoja iliyotolewa kwenye baraza la wawakilishi ni kuona kama kuna uwezekano wa kuweka upendeleo kwa wazawa(wazanzibar) katika mfumo wa ajila kuliko wageni (watanganyika,wakenya,rwanda n.k), hili sio tatizo kabisa katika kulinda ajira za wananchi, nenda nchi nyingi tu utakuta sera kama hizi.
2) swala la kuchomewa biashara zao una maana gani? na biashara gani hizo? maana wazanzibar wanaimport bidhaa nyingi sana itakuwaje wazichome zifikapo zanzibar? nakuomba uilete hii hoja kiuhalisia ni biashara ipi ilichomwa ndio ntakujibu.
3) Ni uongo wa aina yake, sheria ya dini ya kiislam hamlazimishi mtu kufunga na hakuna sio mkristo(hata hao waislam) wanaolzimishwa kufunga. huu ni UZUSHI WA AINA YAKE kuwahi kuusikia na hauna ithibati.
Pole kwa hoja LEGE LEGE
Una maana gani kuwa wasisumbuliwe? Mbona Watanganyika walio visiwani wanasumbuliwa? kama wenzetu ndugu zetu kule wanasumbuliwa ni lazima, na ninakuambia tena lazima huku watakiuona cha mtoto muda si mrefu... si mnatuona sisi machogo wajinga eeh? soon you will know kilichomnyoa kanga manyoya!!
Hatuwezi kuwa na akili kama za kwao.
JUSA yuko wazi kwenye hili!!!!
Hili lipo wazi kabisa. Inajulikana sasa kuwa baadhi ya Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwa hali na mali. Wako wahafidhina toka kada mbalimbali huko visiwani walio wazi na walio ufichoni ambao, katika siasa, uchumi, n.k. wakitaka kujitenga na Tanganyika. Hili linathibitishwa na kauli za kina Jussa na wengine, na hii ni baada ya kuona kuwa Zanzibar ina rasilimali kadhaa ikiwa ni mafuta na gesi.
Baadhi ya Wazanzibari walioko visiwani hawasiti kuonyesha hisia zao juu ya nia hii ya kujitenga. Wazanzibari walioko Tanganyika hawaonyeshi dalili yoyote ya wazi ya kupingana na ndugu zao wa visiwani, kama kwa njia ya makongamano na hata taarifa rasmi kwa umma. Hili suala wanaachiwa tu viongozi kulisemea wakati walengwa wakuu ni wananchi wa kawaida. Baadhi ya Wazanzibari walio Bara wanafaidika sana na utulivu, amani na uelewa wa watu wa Bara. Watanganyika walioko visiwani hawana amani kama hawa wazanzibari wa Bara.
Enyi wazanzibari mlioko Bara toeni tamko kulaani manyanyaso wayapatayo wa Bara huko visiwani, la tunajua lenu moja. Mnachuma Bara kama waasia wanavyochuma Tanzania. Toeni tamko sasa.
Hawawezi kuchangia chochote maana mtawaita wasaliti. Hawa kubaliani na kinacho endelea zenj.
Mfano ni kitendo cha kuwashambulia wabara walioko Zanzibar hivi karibuni na kuwatolea vitisho kwamba waondoke visiwani humo. Pia kama mtu wa bara huwezi kumiliki ardhi wala nyumba Pemba, na jina lako ukiwa uko ni kafiri. Naamini mfano huu unakutosha.Hebu leta ushahidi wa hayo manyanyaso!
Pumbavuu sana nani kakwambia kwamba Wadanganyika wananyanyaswa huko zanzibar??? wewe hujui jeshi la wabongo pamoja na mapolisi ndio wameua watu huko katika chaguzi zilizopita..wewe hujui wazanzibar wameuliwa kwa kupinga muungano? wewe hujui hujuma imefanywa na watanganyika? wewe hujui kuna wa bongo kibao wanafanya kazi SMZ ? wengine wakurugenzi?Hili lipo wazi kabisa. Inajulikana sasa kuwa baadhi ya Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwa hali na mali. Wako wahafidhina toka kada mbalimbali huko visiwani walio wazi na walio ufichoni ambao, katika siasa, uchumi, n.k. wakitaka kujitenga na Tanganyika. Hili linathibitishwa na kauli za kina Jussa na wengine, na hii ni baada ya kuona kuwa Zanzibar ina rasilimali kadhaa ikiwa ni mafuta na gesi.
Baadhi ya Wazanzibari walioko visiwani hawasiti kuonyesha hisia zao juu ya nia hii ya kujitenga. Wazanzibari walioko Tanganyika hawaonyeshi dalili yoyote ya wazi ya kupingana na ndugu zao wa visiwani, kama kwa njia ya makongamano na hata taarifa rasmi kwa umma. Hili suala wanaachiwa tu viongozi kulisemea wakati walengwa wakuu ni wananchi wa kawaida. Baadhi ya Wazanzibari walio Bara wanafaidika sana na utulivu, amani na uelewa wa watu wa Bara. Watanganyika walioko visiwani hawana amani kama hawa wazanzibari wa Bara.
Enyi wazanzibari mlioko Bara toeni tamko kulaani manyanyaso wayapatayo wa Bara huko visiwani, la tunajua lenu moja. Mnachuma Bara kama waasia wanavyochuma Tanzania. Toeni tamko sasa.
Iam afraid ni wote... il akuna wa kutenda na kuna wa kuwapooza wabara.Soon itabidi tuwaamini wanapozikwa tuu.Hili lipo wazi kabisa. Inajulikana sasa kuwa baadhi ya Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwa hali na mali. Wako wahafidhina toka kada mbalimbali huko visiwani walio wazi na walio ufichoni ambao, katika siasa, uchumi, n.k. wakitaka kujitenga na Tanganyika. Hili linathibitishwa na kauli za kina Jussa na wengine, na hii ni baada ya kuona kuwa Zanzibar ina rasilimali kadhaa ikiwa ni mafuta na gesi.
Baadhi ya Wazanzibari walioko visiwani hawasiti kuonyesha hisia zao juu ya nia hii ya kujitenga. Wazanzibari walioko Tanganyika hawaonyeshi dalili yoyote ya wazi ya kupingana na ndugu zao wa visiwani, kama kwa njia ya makongamano na hata taarifa rasmi kwa umma. Hili suala wanaachiwa tu viongozi kulisemea wakati walengwa wakuu ni wananchi wa kawaida. Baadhi ya Wazanzibari walio Bara wanafaidika sana na utulivu, amani na uelewa wa watu wa Bara. Watanganyika walioko visiwani hawana amani kama hawa wazanzibari wa Bara.
Enyi wazanzibari mlioko Bara toeni tamko kulaani manyanyaso wayapatayo wa Bara huko visiwani, la tunajua lenu moja. Mnachuma Bara kama waasia wanavyochuma Tanzania. Toeni tamko sasa.
Sisi hapa mtaani tumeshagawana nyumba na viwanja vya Wazanzibari, tunasubiri tu wavunje muungano tujimilikishe rasmi
mkuu umekuwa msemaji wao?
Iam afraid ni wote... il akuna wa kutenda na kuna wa kuwapooza wabara.Soon itabidi tuwaamini wanapozikwa tuu.