Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Wabara wanapendekezwa kufukuzwa kazi huko visiwani. Wabara wamechomewa biashara zao. Wabara na hasa wakristo wamechomewa makanisa visiwani. Wabara wakristo Zanzibar hulazimika kufunga Ramadhani kisa uislam umetamalaki huko. Need I say more?
Sisi hapa mtaani tumeshagawana nyumba na viwanja vya Wazanzibari, tunasubiri tu wavunje muungano tujimilikishe rasmi
Bora umesea ukweli....wana siasa ni watu wa kuwaogopa kama ukoma. Wanataka kuigawana zanzibar fasta bila ya wananchi kujua...wa-ZNZ walioko huku Tanganyika wasisumbuliwe hata kama muungano utavunjika.
..wenye matatizo na muungano ni wanasiasa kama Maalim Seif,Ismael Jussa, na wenzao ndani ya CUF.
mie naona unafiki anao nyerere na baba yenu wa tanganyika,kutaka muungano na znz,hebu na uvunjike hatuutaki kwani lazima
mie naona unafiki anao nyerere na baba yenu wa tanganyika,kutaka muungano na znz,hebu na uvunjike hatuutaki kwani lazima
Wabara wanapendekezwa kufukuzwa kazi huko visiwani. Wabara wamechomewa biashara zao. Wabara na hasa wakristo wamechomewa makanisa visiwani. Wabara wakristo Zanzibar hulazimika kufunga Ramadhani kisa uislam umetamalaki huko. Need I say more?
Acha uhuni kuwa honest.We Mtanganyika unanfananisha na mnyarwanda, mkenya?HAPA NDIPO NINAPOSEMA RATIONAL REASONING HAIPO.Ndio maana nikataka ushahidi maana nilijua unaongea jambo usilolijua
1) Hakuna na halijawahi kutolea pendekezo la kufukuzwa wabara kazi znz, hoja iliyotolewa kwenye baraza la wawakilishi ni kuona kama kuna uwezekano wa kuweka upendeleo kwa wazawa(wazanzibar) katika mfumo wa ajila kuliko wageni (watanganyika,wakenya,rwanda n.k), hili sio tatizo kabisa katika kulinda ajira za wananchi, nenda nchi nyingi tu utakuta sera kama hizi.
Wale masai wanauza vinyago na kabia pale UROA beach walichomewa nini?Wala usijifanye kuwa pombe ni haramu.Kuibiana WAKE ni haramu zaidi,UNGA unaotumika zanzibar ni zaidi ya dar,USHIRIKINA,NA USHOGA WA WAZI NA MAFICHONI NI AIBU.Usiweke kichwa chini kama mbuni.Hii mnafanya kwa hasara yenu na hamtaweza iona leo.2) swala la kuchomewa biashara zao una maana gani? na biashara gani hizo? maana wazanzibar wanaimport bidhaa nyingi sana itakuwaje wazichome zifikapo zanzibar? nakuomba uilete hii hoja kiuhalisia ni biashara ipi ilichomwa ndio ntakujibu.
Basi tuite sheria za zanzibar+maombi ya watu wanaojiona kuwa imani yao haitekelezeki bila msaada wa kuondolewa vishawishi. I WONDER MTU ANATAKAJE THAWABU KWA KAZI ASIYOFANYA?.Ni kawaida kabla ya Ramadhani kusikia kelele za watu kuwa Chakula kizuie, pombe isiuzwe, sijui pasiwe na matamasha. MAY BE TUNAHITAJI WAPA ZAWADI WAFUNGWA WOTE WA WIZI KWA KUTOIBA WAKIWA MAGEREZANI.3) Ni uongo wa aina yake, sheria ya dini ya kiislam hamlazimishi mtu kufunga na hakuna sio mkristo(hata hao waislam) wanaolzimishwa kufunga. huu ni UZUSHI WA AINA YAKE kuwahi kuusikia na hauna ithibati.
Pole kwa hoja LEGE LEGE