Baadhi ya watu wenye asilli ya mkoa wa Tanga unaweza kuwatambua kwa rangi ya ngozi yao na zaidi kwa maumbile ya midomo yao

Salary Slip mbona safari hii umekuja kivingine? haiajawahi kuandika Mada km hizi za kitafiti
usichoke Mkuu rudi katika siasa achana na hawa wasiojulikana kwa sasa wanaumbuana wenyewe
mm nimeoa Tanga, Wadigo, Wasambaa, Wanguu mbona ni tofauti sana
na hata ukitembelea kwao wana sura tofauti labda wale wa Pwani wanashabihiana na wavisiwani na hata maumbile kwa nyuma km Wachagga tu
unajua Msukuma Mnyakyusa na Mhaya wakifika Tanga utawatofautisha tu kikazi, mavazi hata kutembea licha ya lafudhi na maumbo lakini midomo wanaweza kufananaView attachment 1208228
Hii hatari sana!!!
 
Hii hatari sana!!!
Mambo ni mengi, "MB" ni chache
Kusitishwa kwa mradi wa bomba la mafuta:kuna watu wanasikitika zaidi kukosa "kiki" kuliko kupoteza mradi wenyewe.
unajua siku hizi kutoa taarifa unaweza kupata kisukari na Pressure, bora tukae kimya lakini macho hayakubali pigana Salary Slip
Ngaliba haogopi mikojo ya jandoni
 
Kumjua mwanaume wa tanga aliyeoa wakiwa wote wawili Pamoja na mkewe Ni rahisi mno.Mwanaume wa kitanga huwa msafi na smart Sana kama mwanaume wa kikongo mkewe puuuuuuu!!! Unakuta mke wa mwanaume wa Tanga yuko kienyeji kienyeji tu Kuanzia sura Hadi mavazi.Ila mumewe msafi na katakata kuliko trump. Na ana sura ya kushiba na kuongea kiiheshimiwa!!!!
 
Back
Top Bottom