Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB walalamikia fedha kutolewa kwenye akaunti zao bila taarifa ya kueleweka

Hapo wawalaumu it wao kwakutorekebisha mfumo wa utoaji taarifa. Ilitakiwa mteja azione sms kabisa, bahati mbaya meseji zikaanza kwenda na walipotaka kurekebisha ikawa too late hata wasiopata ujumbe wakawa wamegundua. Kuua soo imebidi warudishe pesa.

Kama ingekuwa tatizo la system kiasi kilichokatw kingekuwa kwa asilimia zinazofanana, mfano 10% ya kiasi kilichopo. Na hili lingetokea kwa wateja wote, sio baadhi kama wanavyodai.
 
Tatizo huyu dogo alopewa hii benk baada ya kimei alifanya chuki kuwaondoa wakurugenzi wote na kuweka wapya.
Sasa taatiiibu atajifunza kua fitna hazina mafasi ktk haki na kweli
Hapo wawalaumu it wao kwakutorekebisha mfumo wa utoaji taarifa. Ilitakiwa mteja azione sms kabisa, bahati mbaya meseji zikaanza kwenda na walipotaka kurekebisha ikawa too late hata wasiopata ujumbe wakawa wamegundua. Kuua soo imebidi warudishe pesa.

Kama ingekuwa tatizo la system kiasi kilichokatw kingekuwa kwa asilimia zinazofanana, mfano 10% ya kiasi kilichopo. Na hili lingetokea kwa wateja wote, sio baadhi kama wanavyodai.
 
Whistle blower, you deserve credit. Ungekaa kimya si ajabu wasinge-respond. Kuwaumbua wakati mwingine ndio dawa. Hizo system kwanini hazijawahi kuwaongezea amana wateja?
Needy greedy needs to be shamed.
 
Back
Top Bottom