wanawake ndio wahanga wakubwa sana wa hawa watu aisee, hii inamaanisha upeo wao wa kufikiri ni mdogo,sasa hawa watu wa haki sawa wanataka wawape nafasi za uongozi na ajira kwa kulazimisha ili tuwe 50%/50%I wonder especially mambo yanayoendelea Dar, hii nimeiona sana kwa akina dada wengi wanavyotapeliwa mjini. Nowdays manabii wamekuwa wengi wengine wanamakanisa wengine hawana. Wahanga wa kutapeliwa wengi ni wanawake. Unakuta mwanamke unahangaika kwenye ujasiriamali wako au kwenye ajira yako pesa yote unampa nabii ili akufunulie mambo yako. Enyi wanawake nani amewaroga? We kila jambo unalokutana nalo eti ngoja nimuulize nabii. Wengi manabii mnaowamini ni waongo sanaaaa. Wengi wanabad behaviour na si watumishi wa Mungu. Enyi akina dada acheni kutapeliwa, rudini kwenye imani zenu za awali mdumu katika sala God atawasaidia sana. Achaneni na manabii ni waongo na wezi..wao kazi yao nikuwahimiza mtoe pesa.
i wonder especially mambo yanayoendelea dar, hii nimeiona sana kwa akina dada wengi wanavyotapeliwa mjini. Nowdays manabii wamekuwa wengi wengine wanamakanisa wengine hawana. Wahanga wa kutapeliwa wengi ni wanawake.
Unakuta mwanamke unahangaika kwenye ujasiriamali wako au kwenye ajira yako pesa yote unampa nabii ili akufunulie mambo yako. Enyi wanawake nani amewaroga? We kila jambo unalokutana nalo eti ngoja nimuulize nabii.
Wengi manabii mnaowamini ni waongo sana. Wengi wanabad behaviour na si watumishi wa mungu. Enyi akina dada acheni kutapeliwa, rudini kwenye imani zenu za awali mdumu katika sala god atawasaidia sana.
Achaneni na manabii ni waongo na wezi, wao kazi yao nikuwahimiza mtoe pesa.
yataje na onesha udhaifu wa kila moja.nina wasi wasi nyie watu wa hadhara hii hamna kazi ya kufanya sasa.swala la jk kufanya yale ambayo tulidhani anaweza ni ndoto kesha sema na si mara moja wala 2 kwamba yeye anafuata yale aliyo yaanzisha mkapa na kuyaacha mengine haya aliyo bahatika kufanya ni baada ya kuona hana namna . Sasa mnasikiliza mbwembwe za semina endelezi wazee ? Wacha anunue madege na matukutuku ila pesa za wanafunzi kukopeshwa hawana na nchi ni masikini ilapesa za kukaa ngurdoto wiki nzima zinapatikana .
Kinachosikitisha ni kuona janaume zima nalo limetekwa akili limechakaa linamuwaza nabii tu na kudhani ndie Yesu mwenyewe!I wonder especially mambo yanayoendelea Dar, hii nimeiona sana kwa akina dada wengi wanavyotapeliwa mjini. Nowdays manabii wamekuwa wengi wengine wanamakanisa wengine hawana. Wahanga wa kutapeliwa wengi ni wanawake.
Unakuta mwanamke unahangaika kwenye ujasiriamali wako au kwenye ajira yako pesa yote unampa nabii ili akufunulie mambo yako. Enyi wanawake nani amewaroga? We kila jambo unalokutana nalo eti ngoja nimuulize nabii.
Wengi manabii mnaowamini ni waongo sana. Wengi wanabad behaviour na si watumishi wa Mungu. Enyi akina dada acheni kutapeliwa, rudini kwenye imani zenu za awali mdumu katika sala God atawasaidia sana.
Achaneni na manabii ni waongo na wezi, wao kazi yao nikuwahimiza mtoe pesa.