TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 10,745
- 29,220
Wana MMU hii sikuitegemea na nilikuwa nabishana sana.
Ishu iko hivi.
Nina mshikaji wangu anaofisi yake ya mambo ya IT ni mtaalam mzuri tu wa masoftwere na kijiofisi chake kinachanganya sana kwani amewin wateja wengi.
Mara chache chache huwa namtembelea kwenda kumpa kazi zangu au hata kwa stori.
Sasa jana nilipokuwa kwake akaja bradhameni mmoja na laptop yake airekebishe then akasepa kwa miadi kuwa angerudi mida kidogo maana ilikuwa imemzimikia gafla wakati anaitumia.
IT akaitengeneza kitu kikawa kiko powa.
Sasa katika kujaribu jaribu ile laptop kumbe jamaa alikuwa yuko online JF na hakulog out nahisi kwa kuwa chombo kilimzimikia gafla.
IT akawa na busara akataka kutoka kwenye ile page lakini nikashupalia japo tujue anatumia jina gani.
ASTAGHAFURLAH uwezi amini jamaa anatumia nickname ya kike maarufu sana hapa JF tena yenye avatar ya mwanamke mzuri mzuri hivi.
Halafu amekuwa akianzisha nyuzi nyingi sana humu na kupata koment kibao hasa kutoka kwa members ambao nahisi ni wanaume.
MY TAKE: Kwa wale mliozoea kuchat PM kwakufikiri kuwa mnachati na mabinti plz inawezekana mkawa mnachati na midume wenzenu.
Kweli JF ni zaidi ya uijuavyo.