Baadhi ya wanawake sijui mkoje

Baadhi ya wanawake sijui mkoje

kazi nyingine ukitajiwa lazima mwili usisimke duu ata ukienda kuwaambia shemeji zako unafanya kazi mochwali lazima miili yao iwasisimke.

ni sheeeda
 
Hahahhh, naskia watu wa mochwari sura zao chungu mno, usikute demu kaogopa sura halafu kasingizia kazi!!!!
 
Wa mochwari na madokta walewale tu.
Jaribu kuwafikiria mara mbili mbili,
 
Back
Top Bottom