Baadhi ya Wanawake huona Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume

leadermoe

JF-Expert Member
Feb 15, 2017
1,392
4,573
Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...
Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo!

Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi.

Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.

Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.

A Confident woman is an Asset, An Ass-oriented woman is an asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanaposti Facebook huku wameguza Makalio yao??They are Cheap Girls hunting for CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident.

"Acha nongwa, sihusiki na shida zako"
 
Sawa lakini Nyumba ni Choo mkuu, We endelea kupambaba na kimbau mbau Chako tu mzee, Sisi wazee wa Kupenda misabwanda utaache pia, Akili ya Mwanamke tangu lini ukaitegemea katika Familia
 
Kwani si tulishakubaliana kwamba makalio ndo mambo yote, akili tutatumia za kwangu?! Au?
 
Nakala kwa Sheikh Kipozeo
 
Sawa lakini Nyumba ni Choo mkuu, We endelea kupambaba na kimbau mbau Chako tu mzee, Sisi wazee wa Kupenda misabwanda utaache pia, Akili ya Mwanamke tangu lini ukaitegemea katika Familia
Unamaana gani
 
Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...
Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo!

Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi.

Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.

Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.

A Confident woman is an Asset, An Ass-oriented woman is an asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanaposti Facebook huku wameguza Makalio yao??They are Cheap Girls hunting for CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident.

"Acha nongwa, sihusiki na shida zako"
Hivi ndizo ziitwazo "neema za Allah"?
 
Yani na kisomo changu cha Cuba nije nitegemee akili za mwanamke!,kakaa mwanamke ni kwa ajili ya starehe na kuunganisha Familia tu..kama ana la ziada huyo ni bro mwenzio.
 
Hayo makalio ndo kama haya?
Screenshot_20221209-183817_Quora.jpg
 
Hapo umenena mkuu. Ila sijaongelea kuuza. Nimeongelea shep zinavyowadanganya
Sio wanawake wote wenye assets zao kubwa kubwa ni wauzaji hilo ndio ninaloweza kusema
Tuna twenye tu asset tudogo tudogo na tuakili hatuna pia
 
Back
Top Bottom