Mambo ya ndoa: Je, ni kweli wanawake walio kwenye ndoa wanaongea sana kuliko wanaume??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya ndoa: Je, ni kweli wanawake walio kwenye ndoa wanaongea sana kuliko wanaume???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dark City, Sep 23, 2012.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wakati napiga story na wajukuu na kumalizia week end (ukiachana na refa mpuuzi ambaye kaharibu uhondo wa Liva kwa Man U), nimekutana na story kwenye Gazeti la Tanzania Daima ambayo nimeonelea niilete hapa ili wadau watoe maoni yao.

  Katika kona ya "Maneno ya Ma'Mdogo" uk 19, mwandishi ameandika makala yenye kicha kinachosema kuwa "Kelele za wanawake huwafukuza waume". Amejaribu kujenga hoja kuwa baadhi ya wanaume wanalazimika kutumia muda mwingi nje ya familia zao ili kukwepa kelele za wake zao. Ametumia ushuhuda wa msomaji wake mmoja ambaye anadai kuwa hawezi kukaa nyumbani muda mrefu kwa sababu mke wake anampakia maneno mengi anayosema kuwa "hayana maana". Mwanamume huyo anadai kuwa anakosa muda wa kukaa na watoto wake na amebaki kwenye ndoa kwa sababu anampenda mke na watoto wake!

  Mwandishi amezidi kuwandika kwamba, "Wataalamu wanasema kuwa maumbile ya mwanamke yanamfanya kujihisi kuwa mnyonge na hivyo kutumia maneno kama silaha yake. Kwa siku mwanamke anazungumza zaidi ya mara 7000 wakati mwanamume huzungumza chini ya nusu ya kiwango hicho (isipokuwa watangazaji)".

  Kwa hiyo, mwandishi anataka kutuaminisha kuwa wanawake wanatumia silaha ya maneno/kuongea ili kufidia (to compensate) baadhi ya mapungufu ambayo wanajihisi wanayo (biologically). Je, hii ni kweli?

  Naomba michango yenu ili tupeane uzoefu!

  Babu DC!!

  Updates:

  Nimepitia kwenye mtandao na kukutana na hii kitu....Someni wenyewe!


   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  babu DC habari ya w,end kama unanisema leo nimeshaongea nimepitiliza maneno 7000
   
 3. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mapungufu gani hayo ambayo "wanajihisi" wanayo?
  hapo kwenye red inahu?
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  haijalishi ni kweli au si kweli, what i want is more important than anything else..

  for me mwanamke mwene makelele hata K yake siigusi na ntampata talaka cku ioio.
  Karaha zote za nini?
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  pole na kichapo mkuu...
   
 6. p

  pretty n JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hyo nayo mpya
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mwaka huu natoka kivingine sasa, mimi ni Yanga ya akina Mbuyu Twite huku kwetu Tanzania na kule England ni Liverpool yaani natamani kocha Rogerz hata leo aondoke kama alivoondoka wa Yanga. Na pia jamani hawa walioinunua Liverpool nao ni wamarekani makapuku nini kwa nini wasilete wachezaji wa maana.Sasa ina maana gani kwa timu kuuzwa kwa mwekezaji halafu bado tukawa na kikosi kilekile, shenz. kabisa Liverpool mwaka huu ni kila weekend mnanitibulia siku.Asante kwa mada mheshimiwa Dark City na samahani kwa kujadili tu mambo ya Liver na refa wa kuhongwa
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Hii nimeitoa hapo kwenye blue na wala sijajribu kuweka maoni yangu...Huko mbele labda nitasema. Ila kwa sasa nimeripoti tu!

  Ungejua hiyo match ilivyoniboa basi ungenipa pole!!

  Babu DC!!
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana Scofied.

  Mie siyo Liva ila nimepoteza muda wangu nikitegemea kuona kandanda la uhakika nikaishia kukerwa!

  Anyway, nimeona hata mashabiki wa Man U wakikiri kuwa Football politics imefanya kazi yake!!

  Haya sasa tueleze,...Wewe unaongea sana au kidogo?

  Babu DC!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mi sijaolewa, so ngoja nijipitie. Ila mwanaume akikukosea anakuwa amexpect UTAONGEA SANAAA au UTANUNA!!! LOLEST!! Ila siku hizi dawa yao mpya ni moja, akikosea NO KUONGEA, NO KUNUNA, NI MDA WA KUDEMAND VITU VYOTE ANAVOKUKATALIAGA @ kuwaleta nduguzo kutoka kijijini hapo maskani. Hapo ukiomba japo hataki, ila anujua akigoma utafunguka, so unajipatia kiulainiii! Kosa likishatokea haina haja RAP ila uangalie jinsi gani kosa litakunufaisha, nae akikujua hio tabia yako HAKOSEI HOVYOO. ILAUKIJA KUKOSEA WEWE JIANDAE
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Umeongelea nini Chauro hadi ukapita quota/share yako?

  Babu DC!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. N

  Neylu JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mi siko kwenye ndoa, lakini najaribu kufikiria kwamba hao wanawake wanaopiga makelele kwa waume zao WANA SABABU za msingi.. Wao sio vichaa mpaka waanze kubwatuka bwatuka hovyo...!
   
 13. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  The tongue is the sword of a woman and she never lets it become rusty.

  Women’s tongues are like lambs’ tails – they are never still.
   
 14. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 15. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mkuu ulichokisema ni kweli bana..wanawake wanaongea sana kama defencive mechanism ila dawa yao ni kuishi kama hujawasikia vile huwa wanalainika kama wamedondokewa mlenda..........
   
 16. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I'm probably the least qualified to speak here lakini mtazamo wangu, wanawake ni rahisi kugundua makosa madogo na kuyaongelea non-stop. ukimkosea mkeo hata kama ni kosa dogo ataliongelea hata kwa miezi ijayo wakati wewe umesahau tofauti na sisi. it's part of their nature i guess. wana tendency ya kuyakuza mambo kupita kiasi, wakati wanaume hupendelea kukaa kimya au kupunguza maudhi madogomadogo kwa sports/beer etc.
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Mie kwa maoni yangu sidhani kama ni kwenye ndoa tu bali hata kwenye mahusiano ya kawaida. Wenzetu wana kipaji cha kuongea ukilinganisha na Wanaume. Wanaume wengi hawapendi kuongea. Babu DC usiniulize lini nimefanya research ni maoni yangu binafsi haya ambayo yanaweza kabisa kuwa hayako accurate.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  You are growing so fast, am so proud of you!

   
 19. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Mkuu, I salute you!
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  sababu ni nyingi sana zinazowafanya waongee kulingana na walivyo.
  'gossip' na 'talking' gland ni kubwa.

  Hushangai na wanamme nao 'ngono' gland ni reletively kubwa ukilinganisha na a wanawake.

  Note: poleni wale wa bwawa la maini, point 2 kati ya mechi 5?
   
Loading...