MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,240
- 3,973
Mbona unatoka mapovu kama kuna jambo limekusibu...sema usaidiwe wewee..Eti wanaume siku hizi hawaoi na hizi kadi za michango tunazoletwa kila siku mpaka tunazikimbia huwa ni ndoa za wanawake kwa wanawake!? Kama hutaki kuoa wewe tu wenzio wanaoa kila siku!