EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Ajabu sasa unamfungulia uzi kisa umeombwa 2000 ebu njoon mnisaidie kushang'aa hukuElf mbili kama elf mbili kweli tumefika pabaya
huyu mwamba itakua anakwama pahala si bureAjabu sasa unamfungulia uzi kisa umeombwa 2000 ebu njoon mnisaidie kushang'aa huku
kaombwa 2000 bt katokwa povu la msimbaziUna hali mbaya sana mkuu, yani kuombwa sh elfu 2 tu yakakutoka maneno yote hayo
ππππUna hali mbaya sana mkuu, yani kuombwa sh elfu 2 tu yakakutoka maneno yote hayo
Kwahiyo baada ya yeye kutambulishwa anakaa Dar ndo akamwomba 2000 hata mm cmpi.kaombwa 2000 bt katokwa povu la msimbazi
Alikua anazuga tu. Ni matapeli tu wa facebook wanatumia uzuri wao kutapeli watu facebook. Wanawake akili zao fupi sana. Yaani hapo alishapiga hesabu kwamba nikiomba elfu 2 kwa watu 50 kwa siku nina laki moja hapo Masha yanasonga.Kwahiyo baada ya yeye kutambulishwa anakaa Dar ndo akamwomba 2000 hata mm cmpi.
Waendelee kujaribu bahati yaoAlikua anazuga tu. Ni matapeli tu wa facebook wanatumia uzuri wao kutapeli watu facebook. Wanawake akili zao fupi sana. Yaani hapo alishapiga hesabu kwamba nikiomba elfu 2 kwa watu 50 kwa siku nina laki moja hapo Masha yanasonga.
Wanawake wa sasa wamekaa macho juu kuna dada namfahamu kabis anamexa ARV , kila anayerusha pini anamkubali ... Na hasisitizi kuvaa kondomu ... Mech zake mchana ... Yupo fb na jf wale wapenda vitonga hali ngumu mitaani ndio maana wengine wanauza mpk video za ngono ..Tuwena nidhamu kwenye hela vinginevyo tutapiga mack time sana kwenye uchumi
Alikua anazuga tu. Ni matapeli tu wa facebook wanatumia uzuri wao kutapeli watu facebook. Wanawake akili zao fupi sana. Yaani hapo alishapiga hesabu kwamba nikiomba elfu 2 kwa watu 50 kwa siku nina laki moja hapo Masha yanasonga.
Anaitwa Enjoy,Mbaya Sana hii anajita Nani nimpatie elfu kumi,au anipatie namba nimunge bando la mwezi la 25 elfu kiongozi