Baadhi ya wanasiasa na kauli mbiu zao!!!

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
Masaibu ya waTanzania!!!
Watu tulichanga na kuchangishwa kuhusu ujenzi wa makao makuu ya chama na serikali Dodoma...
Michango yooote ya Tanzania nzima na watanzania wake ilitarajiwa DODOMA ing'are na kumeremeta...
Dodoma ijae maghorofa na majengo ya maana wakati ule... lakini ilifikia wakati mikutano mikubwa ikafanyikia kwenye ghala KIZOTA!!!
Mkuu wa mamlaka ya USTAWISHAJI MAKAO MAKUU...
aliwahi kuwa mheshimiwa saaaana S wa 6!!! Leo hii anasifiwa na kupewa sifa!!!!


Yuko mwingine aliwahi kuwaalika matajiri akisema:
"MKITAKA MAMBO YENU NA BIASHARA ZENU ZIWAENDEE VEMA NA MAMBO YENU YAWE SUPA NJOONI CCM"
Leo kama vile si yeye anasema tena "CCM IMEKUMBATIA MATAJIRI!!!"
Huyo yeye aliwahi kuwa Waziri mkuu mheshimiwa saaaana FS!!!!

Kweli watanzania tunasahau, leo ni haohao tutawasifia lakini je? i wema gani waliowahi kuifanyia nchi hii wakiwa katika nafasi njema na kutuonesha UZALENDO WAO?

Je hakukuwa na TUHUMA za KIBAIGWA na URAMBO kuwahusu? je waliwahi kujiuzulu?
Wapo wengi zaidi ya hao....
NAMAANISHA MAGAMBA BADO YAKO MENGI KWENYE MAGAMBA!!!
KWELI HAYA NI MASAIBU YA TANZANIA!!!
 
Back
Top Bottom