Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,693
- 21,196
Wahindi wako vizuri sana kwenye "Financial Literacy" na wengi wanasurvive sababu ya Generational Wealth a.k.a Old Money hivyo viduka wengi vipo kwa ajili ya kuwakeep busy tu lkn mpunga mrefu walitafuta Babu zao na umewekezwa kwenye Bonds na Biashara mbalimbali kubwa za Ukoo nk. Waswahili tuna mambo mengi sana ya kujifunza toka kwa hawa wenzetu, Chuki dhidi yao haitatusaidia na tunazidi kuwa Duni sababu ya Chuki na Roho Mbaya Miongoni mwetu. Binafsi nimewahi fanya kazi na wahindi na walikiwa wananilipa vizuri tu kutokana na kazi niliyokuwa nawafanyia. Usitegemee kuwa mvivu na goigoi alafu ufanye kazi na Muhindi na asikudharau. Waswahili tuna matatizo sana lkn hatutaki kujikubali tutaishia kujenda chuki zisizo na msingi.
Tubadilike!
Hao babu zao walifaidika kwa kuachiwa mali na ardhi na wakaloni sababu wahindi were deemed second class citizens baada ya wakoloni wenyewe.