Waliwaiga wa kaskazini sio watanzania wote hawapathamini kwaoWapangaji wakubwa wa NHC ni wahindi, nadhani wanaongoza kwa black dual citizenships even hapa nchini
Natamani Tanzania ingewaiga hawa Wahindi kwa hii culture
Haijalishi uko wapi India ndio nyumbani,
mkuu slim 5 sema yote ya moyoni kwani maisha yako ya elimu ulikuwa india...1. Wazuri sana ktk Biashara za Magumashi!
2. Kule India kuna wahindi weusi, walivo na roho mbaya hata wahindi wenzao weusi pia wanawabagua, sembuse mimi na wewe wamatumbi!
3. Yote kwa yote, wahindi wanaogopa dola kuliko! Ukifankkiwa kumfikisha ubaoni lazima atakuheshimu tu!
Najua watanzania wapo wanaokumbuka nyumbani ila nazungumzia kwa extent kubwa hata kufikia tu jirani zetuWaliwaiga wa kaskazini sio watanzania wote hawapathamini kwao
Wahindi waliletwa na wajerumani kwenye ujenzi wa reli kama watumwa wao karne ya 19 as skilled slaves the same to Indians in South Africa usidhani walifunga safari kutoka India kuja Tanzania kwa utashi wao wenyewe.Najua watanzania wapo wanaokumbuka nyumbani ila nazungumzia kwa extent kubwa hata kufikia tu jirani zetu
Pia utamaduni wa kuishi popote hata nje ya mipaka ya nchi
Sawa mkuu lakini hapo hapo kupitia kupigwa kwenye makinikia ndio tunabadili vinfungu vya sheria.Wahindi waliletwa na wajerumani kwenye ujenzi wa reli kama watumwa wao karne ya 19 as skilled slaves the same to Indians in South Africa usidhani walifunga safari kutoka India kuja Tanzania kwa utashi wao wenyewe.
The same to Arabs and slave trade.
Kuna muhindi mmoja ana filling station ina wateja sana huwa anamleta baba yake kila jioni kwa siku maalum katika week mzee ni zezeta anakuja hapo anajipiga vibao weee analia kama masaa mawili kisha anapakiwa kwenye gari anarudishwa nyumbaniKila familia ya kihindi lazima ina mtoto zezeta.
Unaweza hilo??
Ila wanawake wa kihindi ni wezi balaa kwenye hiyo minguo yao msiwaone tu hapa wana nyodo kwao ni vibaka wanaume hawafikiiWengine watoto wao wako Canada, Marekani na Europe hasa England na Germany, nyumbani hali ikiwa mbaya wana boost
Uingereza baada ya kulikosa koloni la Marekani ( kupata uhuru) walivamia India ambako walianza kutawala na kupeleka western education.Wahindi waliletwa na wajerumani kwenye ujenzi wa reli kama watumwa wao karne ya 19 as skilled slaves the same to Indians in South Africa usidhani walifunga safari kutoka India kuja Tanzania kwa utashi wao wenyewe.
The same to Arabs and slave trade.