nakaa nafikiria ata ukiachana na mtu hauna cha kumkumbuka!
Ahsante mkuu...wacha nijaribu!
Hivi umewahi kujiuliza , ni jambo gani ulilomfanyia mpenzi wako nae angalau akajihisi anathaminiwa?
Hata sex kujiongeza huwezi , ni kama nguo inayosubiri kupasiwa vile...eti 'hujanifikisha'..yaani...mizigo yote niibebe mimi..we kazi yako kunibip(credit nimetuma) na kunitumia mi-msg yako hiyo!
Mnakera sana nyie wenye hizi tabia!
mwanaume nae anahitaji zaid ya sex toka kwako!
mwanamke kama huyu akiachwa kuna kulaumiwa hapa wadau?
Mkuu ni hao hao wanaolalamikia mfumo dume. Wengine wanasahau kuwa mfumo dume ukiondoka itabidi tuwe tunashare bill kwenye outing. Mfume dume ndio unawafanya kudai hela ya vocha, kodi ya nyumba nk. Wanataka kubaki na keki na kuila wakati huo huo.
namwambia ila anasema ye akishakuwa lile eneo , faham zinapotea hivyo hawez fanya lolote![/QUOTE
Nenda direct mwambie hakuridhishi and u don feel anything so abadilike kwa mtu mwenye akili atakuelewa
Hivi umewahi kujiuliza , ni jambo gani ulilomfanyia mpenzi wako nae angalau akajihisi anathaminiwa?
Hata sex kujiongeza huwezi , ni kama nguo inayosubiri kupasiwa vile...eti 'hujanifikisha'..yaani...mizigo yote niibebe mimi..we kazi yako kunibip(credit nimetuma) na kunitumia mi-msg yako hiyo!
Mnakera sana nyie wenye hizi tabia!
mwanaume nae anahitaji zaid ya sex toka kwako!
mwanamke kama huyu akiachwa kuna kulaumiwa hapa wadau?
namwambia ila anasema ye akishakuwa lile eneo , faham zinapotea hivyo hawez fanya lolote![/QUOTE
Nenda direct mwambie hakuridhishi and u don feel anything so abadilike kwa mtu mwenye akili atakuelewa
nitajaribu ma dea ila ananipa hasira sana
hasiponielewa naondoka kimyakimya!
Akienda kwa naniliii anafikishwa, akija kwako humfikishi, we unalalamika hajui kukata uno, why should her take on a task that is too way big...
"F**k her harder, she'll learn to f**k u back"