Baadhi ya swali ya kujiuliza ilikugundua ukweli wa asili yako

Ili traits( vinasaba) vya kibinadamu viendelee kuwepo na kuruhusu mwanadamu kuendelea kuwepo ni lazima tukubali evolution ya genome( DNA) zetu..

mabadiliko ya viumbe yanazingatia sana maeneo ulipo na vitu mwili unavyopokea..

Inawezekana kabsaa kuwa hapo mwanzoni human genome ilikuwa moja na binadamu alikuwa na sifa moja( the same human race) lakini alivyozaliana na kuongezeka na kupelekea exhaustion ya raw materiols ilimfanya aanze kuadopt mazingira kwa kuanza kumigrate into different areas kukidhi yaliyo mazuri kwake.

Hivyo kadri alivyokuwa anamove kutoka maeneo mabali mbali ndipo effects due to cosmic radiations ilimuaffect na kujikuta akichange kadri anavyokaribiana na cosmic wave radiations..

Huenda kabsaa mwanzoni wote tulikuwa wazungu au wote tulikuwa weupe au wote tulikuwa na rangi flani lakini kadri tulivyokuwa tunamigrate ndivyo tulikuwa tunaathiliwa na radiations ..

hivyo miili ulianza kubadilika kulingana na hali ya kuhimili mabadiliko na madhara ya mionzi ya cosmic ..

Inasemekana kabsa kuwa huku Africa jua lipo central zaidi na inawezekana kabsa mwanzoni jua lilikuwa karibu sana huku maneo ya Africs hence effects za cosmic radiation convetion ilikuwa kubwa sana Africa kwa hiyo human being wote waluomigrate kuja Africa miili yao iliyobeba Geneitic trait ilianza kuchange into colors ili kuhimili mabadiliko ya mionzi.
View attachment 842704

pengine nchi za ulaya huko na mashariki ya mbali inasemekana jua linapita pembeni zaidi na effects ya cosmic rays irradiation wanaface kidgo snaa kulingana na huku kwetu ndo mana pengine ngozi zao zinabaki kuwa vile vile from original since manipulated kuja kuishi hapa duniani....
View attachment 842706

huenda kabsa human being waliobakia huko hawakupata mutation snaa hence their genetic traits( vinasaba) zikabaki hivo hivo with minimal chances to change ..na kumbuka hata Intelligence Quotient( IQ) hubadilika kadri DNA yako inavobadilika..

kwa hiyo huenda kabsa kuwa watu waliomigrate kuja huku ambapo jua linakuwa na effects kubwa za cosmic radiation wakati wa solar meridian clancher effects ndipo madhara yanakuwa makubwa sana kwenye DNA yetu
View attachment 842712

na kadri muda ulivozidi kwenda ndipo madhara yalionekana kabsaa kwenye kizazi hiki...

View attachment 842714

picha hapo juu ni matokeo ya IQ baada ya muda wa miaka kadhaaà...

Conclusion..

Swala la kudig kuwa tulitoka wapi ,na kwanini tuna human races kadhaa na nini utofauti wa hizo races nadhan binafsi naweza anza kuamini cosmological facts zinazoanza kugive out kwanini different races arose na kufanya kila race kuwa na specific IQ ..hii ni ukweli ulio dhahiri..

Labda kama wengine wana mchango tofauti na mimi..

Binafsi naamini wote tulikuwa sana since then tulipoletwa hapa duniani..ililetwa race moja lakini other races occured after baada ya hiyo race kuanza kumigrate maeneo ambayo ilipata effects za hizo radiations..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na thread zako nyingi nimegundua kitu kimoja
1.Unaamini sana theories of evolution vitu ambavyo ni vya kufikirika na havijawahi kuwa prooved.
2.Haukubali race yako wewe kama african na unaamini sana kila atakachosema mzungu .
Sasa nakushauri kitu hichi usiamini kila theory kwa kuwa tu imetolewa na mzungu na wakati huo huo haina scientific proofs.
 
Kutokana na thread zako nyingi nimegundua kitu kimoja
1.Unaamini sana theories of evolution vitu ambavyo ni vya kufikirika na havijawahi kuwa prooved.
2.Haukubali race yako wewe kama african na unaamini sana kila atakachosema mzungu .
Sasa nakushauri kitu hichi usiamini kila theory kwa kuwa tu imetolewa na mzungu na wakati huo huo haina scientific proofs.
so kwa kifupi ,where did your race come from??
kama theory hizo unazikataa..ni theory ipi ambayo wew kama wew umeikubali kuwa ndo sahahi na inakupa çlue ya ukweli juu ya race nyeusi..??

Lets go with facts mkuu..napenda unipinge kwa facts make tupo kuelimishana...
Go ahead ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila swali likijibiwa kwa ufasaha kuna kitu kitaweza kubadilisha msimamo wa baadhi ya waafrica.
1.Unajua nini juu ya jamii yako kama mwafrika?
Kilichoandikwa kimejaa uongo mtupu - hivyo kile nilichofundishwa siamini kama kina ukweli. Ninachoweza kujua ni kuanzia pale tu nilipojitambua na kuoneshwa kaburi la babu yangu.

2. Kabla ya biashara ya utumwa wazazi wako walikuwa wa asili hiyo uliyoko?
Biashara ya utumwa haikuathiri sana kwenye chimbuko langu hivyo naamini jamii yangu haina makovu ya utumwa.

3. Je Katika jamii yako kuna watu ambao walikuwa wanafanya kazi za ubunifu kama kutengeneza zana za Kilimo, kufua chuma nk?
Ni wengi sana walikuwa wanafanya kazi za kufua chuma. Nakumbuka hata mimi wakati nikiwa ndogo nilikuwa fundi sanifu wa kutengeneza vikapu, baiskeli za miti n.k

4. Je jamii uliyoko unajua nini juu ya mababu wako?
Mababu hawakuandika vitabu vingi; hivyo vitabu nilivyovikuta ni vile vilivyoandikwa na wazungu. Ila kuna vitabu vidogo vilivyoandikwa na mamabu zetu (vitabu kama Ikengya na Beyalula)

5. Je unafahamu kizazi cha nne nyuma ya hiki ulichopo?
Kizazi kinapimwa baada ya miaka mingapi? Nashindwa kujibu swali hilo kwa sababu sijajua kizazi kinapimwa kwa vigezo vipi.

6. Je Mababu zako walikuwa wanamwabudu Mungu yupi kabla ya wakoloni?
Babu zangu hawakumwabudu Mungu huyu tunayemjua. Walikuwa na njia zao za kuabudu; wazazi wangu ndo walijiingiza kwenye kumwabudu Mungu wa kisasa.

7. Je majina ya asili yako kwanini huyatumii kama unayatumia kwanini una jina la kizungu?
Katika majina yangu; sina jina hata moja la kizungu - hivyo namba saba hainihusu.
 
Kila mtu anajisia asili yake lakini nashangaa waafrika wengi wetu hatutaki kufuata asili na tulikotoka.

Mmarekani hata akiwa Rais bado atakuambia mimi asili yangu ni irish

Kuna test kit inauzwa kwa laki2 tu unaweza kujua wewe ni nani

Tujivunie asili zetu
Lakini kuna watu wanawabagua wenzao kuwa sio wazawa wakati hata yeye hajui ametokea wapi au anajificha kwa rangi yake nyeusi

Rejea kuhusu ishu ya birth certificates alizojibu Rais
 
These mathafuckers white they fool us
Wamebadilisha kila kitu kizuri cha African, Leo hii mtu anang'ang'ania dini bila kujiuliza kabla ya iyo dini kuja wazee walikua wanaamini nn?!
Wazee waliokufa kabla ya kuletewa dini inamana wataenda motoni kama tulivoaminishwa??
Au Mungu tulieaminishwa na hawa wazungu ni kweli yupo??
Kama yupo je, atawaadhibu ambao hawakua/hawana dini??
I'm just thinking out loud
Yaan n full upuuzi..Mungu gan waktafutwa kwenye vitabu.
 
WABONGO BANA WANASHINDA KUWAZA MAMBO YA KIJIIIINGA Kwann msiwe wajinga wakati mnawaza ujinga? nini kimefichwa na kimefichwa wapi?? We unajua kuna Mungu Wangapi? Je! Hao mababu unaowazungumzia wanaweza kusaidia nini? jamani kuweni hata wahamasishaji umasikini ututoke humu Africa......wazungu wanaendelea kumuomba Mungu Awape Mawazo mapya Sisi tunazidi Kuomba tuoneshwe yaliofichwa.....we umejuaje kuwa umefichwa?
Unamuongelea mungu gan hapa? mungu wa wajaidina,wabhudha,hindu,au mungu yule aliyekula bakora kule masharik ya kat?. Tufafanulie tafadhari.
 
Unamuongelea mungu gan hapa? mungu wa wajaidina,wabhudha,hindu,au mungu yule aliyekula bakora kule masharik ya kat?. Tufafanulie tafadhari.
Mwenye uwezo wa kumfisha nakumhuisha mtu ...........( JESUS CHRIST ONLY) Sifa yake ndiyo hiyo. ALFA NA OMEGA....
 
Vilivyofichwa ni vingi tu lakini vikitafutwa vinapatikana sababu vipo tatizo lipo kwetu huwa hatupendi kujichosha kuhoji mambo mtu ambayo anaona hayamhusu
na ukiyahoji wafia dini watakwambia mchawi na mshirikina,nakwambia mkuu kuna baadhi ya wazee walikufa zamani ukizipata historia zao watu hawatokusogelea waafrika walikuwa watu wa kisasawa haswa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom