Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
Mkuu shukrani sana kwa elimu uliyoitoa!
Mkuu, gari langu lina hali mbili zinazoninyima raha
1. Silencer ya gari inakuwa katika mngurumo mkubwa hata ukipark huku engine ipo on au wakati wa foleni mngurumo wake ni mkubwa hata ukiwa mbali kidogo unaisikia na sauti lake la bezi bezi hivi, hii shida ni nini?
2. Wakati wa kuendesha pole pole hata ukipandisha mlima kwa haraka kama unawahi ili uingie njia kuu au unapandisha gari polepole popote pale, kuna kama mkwaruzo fulani ndani ndani hata sielewi ni nini, nimepeleka kwa mafundi hola, shida ni nini?
3. Gari linachelewa kushika kasi au moto hasa wakati wa kuovertake, yaani mpaka nijipange kweli ndo niovertake kwa nafasi
aisee
Solution zake ni zipi?

aiseeSolution zake ni zipi?