Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,523
- 1,609
Mkuu naomba ushauri mimi nimeanzisha biashara ya kuuza vifaa vya simu japo vichache kama earphone,headphone,charger ,battery ndogo za simu cover za simu japo ni chache na vingine japo baadhi tu ni hayo sasa leo siku ya 4 lakin sijapata mteja hata mmoja toka nifungue sasa kwa mawazo yangu ya haraka haraka nataka nianze kutembeza mtaani japo nipate chochote je haya mawazo yakoje mkuu ,naomba ushauri wakoYa mkuu ni wewe tu, Watu engi uoga tulio nao uko ktika sehemu hizi
1. Kuchekwa
2. Kudharauliwa mtaani,
3. Kuhofia kama ukiflisika mpenzi wako unaye mpeda sana atakula kona,
4. Majirani wenzako watakupiku make ushazoea kushindana kimaisha hapo mtaani
5. Kuhofia kupoteza pesa zote
6. Kufofia lawama kutoka kw wazazi make ulishazoea kuwatoa na sasa hutakuwa unawatoa kwa wingi kama zamani,
7. Kuhofia kupoteza washikaji wa mtaa ambao mlikuwa mnabadili viwanja kila siku,
8. Kazini kwangu watanishaangaa sana na kuniona kama nimechanganyikiwa vile,
9. Nilikuwa napiga sana misere na gari la ofisi sasa itanibidi niwe na piga mguu au kupanda Toyo,
UKIYAZINGATIA HAYA HAKIKA, UJASIRIAMALI SI SEHEMU YAKO, NA HUTAWEZA KAMWE