Baadhi ya misemo ya WanaJF

Mpenzi wangu Lizzy nielewavyo mie wewe na Bishanga ni kitu kimoja kwa mana hiyo basi akijaharibika kitu(wewe ndo yeye na yeye ndo wewe)teh teh teh teh NN usisome hapa,funga macho kabisa!
Yummy...Yummy..Yummy....
Alichokupa Bishanga kweli kimekukolea.
 
Last edited by a moderator:
daaah mimi nimesingiziwa.... me like sana wanaume..?since when jamani? nina miaka 5 simjui mwanaume ...
 
Bora kuwa shallow baharini kuliko deep kwenye kijiko - Kongosho.
 
jamani nimesoma hiyo maneno yako ya hapo chini ''SO MANY RELATIONSHIPS, YET SO LITTLE LOVE.... whats behind the scene
 
daaah mimi nimesingiziwa.... me like sana wanaume..?since when jamani? nina miaka 5 simjui mwanaume ...

haya kulikoni? umepata ganzi? pole mwaya cjui yepi yamekusibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…