Baadhi ya maneno ya Lowassa wakati anajiuzulu!

Baadhi ya maneno ya Lowassa wakati anajiuzulu!

Mkuu alisema ameamua mwenyewe, kama upo kwenye
Halmashauri kuu ya magamba tafadhali Tujuze!

Aliamua mwenyewe kuachia uwaziri mkuu baada ya kutakiwa kufanya hivyo na bunge?..kwanini hakujiuzulu kabla ya repoti ya mwakyembe kuundwa na kuwekwa hadharani?..yule mpigaji hakujiuzulu alifukuzwa na alistahili kufukuzwa
 
walikubaliana na mkuu wa kaya bwana Mrisho baba ake Rizione akamtonya mshkaji wake Mamvi ebanah hali mbaya jiuzulu alafu nitakupigia debe 2015 uwe raisi baada ya yangu wala usiwe na stress alafu mshahara wako utakuwa huko pale pale

#Zitto
 
Back
Top Bottom